hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😄😄Kama ni mafuta tunalima wenyewe mkoani singida na kigoma 🤣
😄😄Kama ni mafuta tunalima wenyewe mkoani singida na kigoma 🤣
Na nyinyi walimu mtalicheza sana rumba nyang'au nyie halafu humu kutwa god blesi yusaiYaani gharama za maisha zipande kisa vita vya nchi fulani duniani? Huu utakuwa ujuha. Wakati hayo mataifa yakibondana mengine yataimarika kiuchumi. Dunia haiwezi kuteketea yote kwa wakati mmoja kisa tu kuna visima vya mafuta vya nchi fulani vimelipuliwa. Dunia haitaacha kusonga mbele eti mafuta yataadimika.
msitishe watu!Na nyinyi walimu mtalicheza sana rumba nyang'au nyie halafu humu kutwa god blesi yusai
Wewe una mawazo ya Dunia yako aisee na sijui upo Nchi gani kama upo Tanzania inawezekana ukawa sawa maana hapo bado wapo watu wana mawazo kama ya kwako na wapo wengi sana na hauwaambii kitu.Yaani gharama za maisha zipande kisa vita vya nchi fulani duniani? Huu utakuwa ujuha. Wakati hayo mataifa yakibondana mengine yataimarika kiuchumi. Dunia haiwezi kuteketea yote kwa wakati mmoja kisa tu kuna visima vya mafuta vya nchi fulani vimelipuliwa. Dunia haitaacha kusonga mbele eti mafuta yataadimika.
mafuta yakiadimika baiskeli ya kuendea shule ipo, baiskeli ikiharibika naenda shuleni kwa miguu kama zamani! Tumetoka mbali, tukirudi nyuma poa tu haina shidaNa nyinyi walimu mtalicheza sana rumba nyang'au nyie halafu humu kutwa god blesi yusai
SignedUsiseme hivyo mkuu, ujue mafuta yakipanda bei kila kitu kinapanda.
Na nilivyopenda kula mchele mie.
MAFUTA SIO KWAMBA YATA ADIMIKA TU BALI HUKO MBELENI HAYATAKUWEPO KABISA...mana visima vya mafuta vitalipuliwa na meli za mizigo ya mafuta zitalipuliwa.
ndio mwanzo wa kutunga kwa utungu wa dhiki kuui..
Wanaofuga PUNDA na FARASI ndio watakaokuwa wanamiliki vyombo vya usafiri kusafirisha abiria...
Mana magari yote haya hayatatembea mana hakutakuwa na mafuta yatatelekezwa...
watu watatembea kwa miguu ,baiskeli..sio mbali unyakuo unatokea at the last trump kabla ya 2028 hata mwaka huu 2026 unyakuo unaweza ukatokea...dhiki kuu inafuatia DHIKI KUU,NEW WORLD ORDER....chapa ya mnyama 666.