EWURA mnasubiri nini kupandisha bei ya mafuta, hamuoni vita huko Iran?

Na nyinyi walimu mtalicheza sana rumba nyang'au nyie halafu humu kutwa god blesi yusai
 
Sasa kama maisha yatarudi nyuma zama za ujima poa tu, miti ipo, watu watakula matunda pori, mizizi, magome na majani, watu watatembea kwa miguu, watavaa ngozi za wanyama na kujifunika majani, watu wataishi mapangoni na kuwinda wanyama pori kwa lishe. Yaani kina Trump na akili zao wakubali kabisa kurudisha nyuma maendeleo ya dunia?
 
Vita Ghuba ya Uajemi Marekani na washirika wake waliingia vitani kuibonda Iraq, ilikuwa ni hali ya kutisha kama sasa kwa Iran. Maisha yalisonga mbele na mafuta yaliendelea kuuzwa na kununuliwa. Wababe wanataka mafuta why walipue visima vya mafuta wakati wanayapigania? Vita vya kiuchumi hivi, huwezi kuharibu mojor key of economy ya dunia wakati unaitaka. Sasa ukilipua visima utapataje mafuta? Shida ya wale wababe ni kuondoa regime zilizo kinyume na wao, wakishaziondoa mafuta yataendelea kuuzwa kama kawaida. Hakuna binadamu anayepigana vita kishenzi vitavyoigharimu dunia tangu zama za kale. Watu wanapigana vita vya kimaslahi
 
Wewe una mawazo ya Dunia yako aisee na sijui upo Nchi gani kama upo Tanzania inawezekana ukawa sawa maana hapo bado wapo watu wana mawazo kama ya kwako na wapo wengi sana na hauwaambii kitu.
 
mafuta yakiadimika baiskeli ya kuendea shule ipo, baiskeli ikiharibika naenda shuleni kwa miguu kama zamani! Tumetoka mbali, tukirudi nyuma poa tu haina shida
Duuuuh
 

View: https://youtu.be/VMIRu24tCTM?si=fJ997kxISUNEHEbf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…