EWURA: Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini

walipomuondoa Kalemani kwa sbb ya mafuta kupqta na umeme kukatika,,nilisema sbb alizotoa ilikuwa kumuonea tu..Ka sbb hayahaya yangefanyika hata chini ya kalemani lakinj wakamuondoa sqsa bado wameongeza sh 12 kwa lita..Inammana wasiongepunguza bei ingeongeza nakuw elf 3
 
Nilichoelewa: ni
"kuhakikishia wafanyabiashara wa mafuta hapa nchini wanafanya biashara katika na mazingira mazuri".
Kabisa. Wao ndo wanatuletea mafuta na kuhakikisha tunayapata. Watunzwe. Nchi inayopigana na wafanyabiashara wake si nchi ni shimo lililojaa watu wanaojiita wananchi.
 
[emoji1787] [emoji1787] Hii nchi vituko haviishi Tozo zimepunguzwa alafu hapo hapo Bei ya mafuta imepandishwa kwa sh. 12
Wanasema ilitakiwa ipande kwa madafu mia na ushee hivyo hiyo ni nafuu
 
Hongera Rais wetu.
pongezi pia kwa waziri Makamba na watendaji wote.
 
Ninaona dalili za raisi dhaifu!!
 
Hizo bei bado ni kubwa kupindukia, acheni uzwazwa......
 
Wizara ya Nishati na Ewura waache utani,peleka mswaada Bungeni hayo matozo ya kijinga yakafutwe na kuongeza kidogo kwenye tozo ya kuelekea Tarura Ili kupata pesa ya barabara.

Hapo wakafute mitozo ya kijinga
 
Pamoja na mapunguzo yote hayo naona kiwango cha bei kupungua ni bado sana.

Kwa kipindi cha miezi 6 tu iliyopita mafuta yamepanda kwa takribu tshs 1,000 kwa lita.
 
Kwahio mafuta yameshuka kwa kiasi gani ?
 
At the end mafuta yamepanda.....nchi ngumu sana hii...mama aendelee kuupiga mwingi.
 
Samia aachwe aongoze Hadi 2045 inshallah

tufuate ushauri wa wale wote waliokuwa wanataka magufuli atawale milele, sasa zamu ya Samia aongoze Hadi 2045

Maana kwa muda mchache amefanya mambo makubwa
 
Da Mange alisema andamaneni muitoe CCM mkabisha, sasa endeleeni kulikumbatia hilo joka/CCM hadi liwameze.

Bibi Hangaya anaupiga mwingi sana.
 
Iwapo serikali ingeamua kuondoa to Zero amount badala ya kupunguza kwa mafuta ya dizel, bei ya diesel kwa tozo hizi 8 bei ya jumla ya diesel ingekuwa 1671/- na rejareja ingekuwa 1800/- kwa dar.

Hii ina maana nauli ya tiketi za bus zingepungua kwa wastani wa sh 5000 na 7000/- kwa maana, nauli dar - Dom ingekuwa ni sh 15,000/- Dar - Ar ingekuwa ni sh 23,000. Dar Moro ingekuwa sh 4000/-

Na nauli ya daladala ingepungua kwa wastani wa sh 100/-

Lkn kwa mabadiliko waliyoyafanya hayatokuwa na athari yyt kwalaji wa mwisho.

Zaidi wataona mafuta yamrpanda kutoka sh 2535 kwa Lita,to 2555/-


Majibu ya hesabu hizi yanapatikana baada ya kujumlisha tozo kabla ya pumguzo na kuongeza vat 18% kwa Lita ambayo haijaondolewa.
 
Nilishawai kusema humu mama hii inchi haiwezi!!! Upunguze kodi zaidi ya 7 alafu mafuta yanapanda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii mbona nikituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…