EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Bibi wa watoto wanne anazingua, she totally failed to rule the nation!! shame on CCM. Wanataka kuwaua wananchi, hawa ndio wanawaongezea msongo wa mawazo wananchi wa Tanzania hadi kusababisha kushuka kwa wastani wa miaka ya kuishi hapa duniani hasa Tanzania
 
Na waziri alisema kuwa kuanzia disemba watanunua moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji hivyo bei ingepungua
Ila mafutq kwenye soko la dunia yameshuka toka mwezi huu mwanzoni, sikuona sababu ya kusubiria january
 
Mtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!
C755D43C-9685-4666-A568-A2572CC28345.jpeg
 
Waziri aliyeenda ukununua kwa wazalishaji huko umangani imekuwa vipi tena
Usanii mtupu.
Kuna Mambo hapa duniani huwezi kwenda kinyume na matakwa ya mabeberu.
Gesi tunayo lkn tunapikia gesi ya nje.
Gesi yetu inaweza kuendesha magari madogo lkn tunanunua petroli toka ubeberuni.
Gesi tunayo ya kumwaga, huku tuna mgao wa umeme.
Waziri yupo
Katibu mkuu yupo
Kanishna yupo lkn wanakula supu ya utumbo tu.
 
Back
Top Bottom