Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwa kauli ya kimama kama hii nyuma ya keyboard unatarajia waachie nchi?CCM tuachieni nchi yetu tafadhali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kauli ya kimama kama hii nyuma ya keyboard unatarajia waachie nchi?CCM tuachieni nchi yetu tafadhali sana
Unategemea nini ukiwapa chance wapigadili😅..Pamoja na kupunguza tozo zote lakini bei bado juu.
Una wivu na marehemu!!!Tanzania wapi wanachimba mafuta?? Huyo unaesema watamkumbuka aliwezesha mafuta kupatikana bila kufanya importation?
Yaani CCM hovyo kabisa hamjui nani hata anacontrol uchumi wa dunia na biashara kama hizo zinakuwa controlled vipi!
Hafufuki ng'o hata mfanyeje
Lazma mjue kutofautisha msalaba na jumlisha😅Bibi wa watoto wanne anazingua, she totally failed to rule the nation!! shame on CCM. Wanataka kuwaua wananchi, hawa ndio wanawaongezea msongo wa mawazo wananchi wa Tanzania hadi kusababisha kushuka kwa wastani wa miaka ya kuishi hapa duniani hasa Tanzania
Binti ana gubu huyoAcha usanii wako
Mabasi na treni vipo msipate tabu😅Hii sifa sasa..[emoji1][emoji1]
Tutaenda mikoani na magari desemba hii kweli
Hahahahahahah crown juu ya mawe😅 imefikia mahali bei ya mafuta na cc za gari zimefanana😅Wale wazee wa 2500cc..kama nawaona wakidandia daladala
[emoji1][emoji1] hakuna namna..Mabasi na treni vipo msipate tabu[emoji28]
Hela ya mafuta nywea bia ili usijiskie upweke😅bakisha na chenchi ya boda boda ya kutembelea vijijini[emoji1][emoji1] hakuna namna..
Hehehhehe awaachie ili iweje? Naona akaze tu ili kieleweke kwamba JPM alikuwa mwanaume wa shoka ku control washenzi wote wezi na mafisadi😅Tanzania ndio nchi pekee yenye matatizo kila sekta kuanzia Umeme, Maji, Gesi, Mafuta hivi kwa nini nijivunie Tanzania labda. Mama tuachie nchi yetu plz
Unapambana kuhakikusha Magu hachukui point hahaaaa kweli hakuna jamii isiyo na wachawiMagufuli alizaliwa na kuikuta Tanzania na amekufa na kuiacha Tanzania hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania yenyewe muendeele kumkumbuka tu.
Halafu mko uchumi wa kati why lita moja kwa 0.97 $ iwashide? Huku tunanunua hadi 1.99$ kwa lita
Eeh machache ila yenye nafuu kuliko wapiga kelele waliotaka nchi isitawalike😅Mazuri yako ni Machache sana Tutakukumbuka kwa MABAYA yako Ambayo ni Mengi sana
Na wachawi sio lazma wapande ungo sikuhizi😅Unapambana kuhakikusha Magu hachukui point hahaaaa kweli hakuna jamii isiyo na wachawi
😅😅😅😅😅 bei kupanda iendelee!!!.....Ndugu zangu wa Brevis na crown wanaslimia kwa jina la ewura.
Kweli kabisa.......Na wachawi sio lazma wapande ungo sikuhizi😅
Wivu wa nini , unataka kusema kipindi chake mafuta hayakuwahi kupanda ?Una wivu na marehemu!!!
Nakazia mbinywe hadi munye funza shenzi nyie! Biskuti mnaita mavi na mavi mnayaona chocolate😅Kweli hutupendi wa Tanzania, si kwa wishes hizi😭😭
Hio mimba uje nikuchome oxytocin itoke😅 maana ime over Due!Wivu wa nini , unataka kusema kipindi chake mafuta hayakuwahi kupanda ?
Kipindi chake watu si ndio mlipandishiwa hata bei ya data, sukari , mafuta na hadi mkafungiwa mitandao siku 7 !
Mumkumbuke pia kwa kuua sekta binafsi na kutopandisha mishahara miaka yake 5 ili watu wote wawe level moja huku yeye akiendelea kuvuta mshahara wake wa mamilioni bila kupunguza hata senti