EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Tanzania wapi wanachimba mafuta?? Huyo unaesema watamkumbuka aliwezesha mafuta kupatikana bila kufanya importation?

Yaani CCM hovyo kabisa hamjui nani hata anacontrol uchumi wa dunia na biashara kama hizo zinakuwa controlled vipi!

Hafufuki ng'o hata mfanyeje
Una wivu na marehemu!!!
 
Bibi wa watoto wanne anazingua, she totally failed to rule the nation!! shame on CCM. Wanataka kuwaua wananchi, hawa ndio wanawaongezea msongo wa mawazo wananchi wa Tanzania hadi kusababisha kushuka kwa wastani wa miaka ya kuishi hapa duniani hasa Tanzania
Lazma mjue kutofautisha msalaba na jumlisha😅
 
Tanzania ndio nchi pekee yenye matatizo kila sekta kuanzia Umeme, Maji, Gesi, Mafuta hivi kwa nini nijivunie Tanzania labda. Mama tuachie nchi yetu plz
Hehehhehe awaachie ili iweje? Naona akaze tu ili kieleweke kwamba JPM alikuwa mwanaume wa shoka ku control washenzi wote wezi na mafisadi😅
 
Magufuli alizaliwa na kuikuta Tanzania na amekufa na kuiacha Tanzania hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania yenyewe muendeele kumkumbuka tu.

Halafu mko uchumi wa kati why lita moja kwa 0.97 $ iwashide? Huku tunanunua hadi 1.99$ kwa lita
Unapambana kuhakikusha Magu hachukui point hahaaaa kweli hakuna jamii isiyo na wachawi
 
Una wivu na marehemu!!!
Wivu wa nini , unataka kusema kipindi chake mafuta hayakuwahi kupanda ?

Kipindi chake watu si ndio mlipandishiwa hata bei ya data, sukari , mafuta na hadi mkafungiwa mitandao siku 7 !

Mumkumbuke pia kwa kuua sekta binafsi na kutopandisha mishahara miaka yake 5 ili watu wote wawe level moja huku yeye akiendelea kuvuta mshahara wake wa mamilioni bila kupunguza hata senti
 
Hio mimba uje nikuchome oxytocin itoke😅 maana ime over Due!
 
Back
Top Bottom