Hapana mkuu, huyu (anaupiga mwingi)ndiye tuliyemtaka baada ya yule....
Kama tutaendelea kukaa kimya bila kumtimua chap chap huyu mama basi tutaangamia. Dawa ni kupachimbisha tu.
Na kitu yenye iko na ncha Kali kwa kichwa yako! Pole sana bro!Duuuh nmeagiza gari, ila kwa bei hizi za mafuta nimepigwa Ganzi Nzito Saaana.
Haya mafuta ya sasa ambayo EWURA wamepandisha bei mwezi Desemba yaliagizwa lini na bei ya mafuta soko la Dunia kushuka ilianza lini?Umesoma Uzi huu, Bei ya mafuta imepungua soko la dunia. Sasa kwa Nini Bei imepanda hapa nchini.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mazuri yako ni Machache sana Tutakukumbuka kwa MABAYA yako Ambayo ni Mengi sanaMtanikumbuka kwa mazuri siyo mabaya!
Mtapaki tu mtake msitake😅Daah!!! Tunaomba Serikali ya mama yetu msikivu, tuboreshee usafiri wa umma!!!!
Maana hali inazidi kuwa tata!!! Tunakaribia kuweka silaha chini!!!!
Mama anaupiga mwingi eti😅 au hii ni “None senseWaongo wakubwa... Nchi hii ni kama ina laana
HehehehehNawalaumu sana EWURA kwani nilitaka wapandishe mpaka Tsh 12,500/= kwa Lita ili Akili zitukae vyema Watanzania..
watoto wapuuzi sana hao! Yani hawataki mama yao aguswe wanakusingizia wewe ni sukuma gang machoko kweliMda mwingine muwe mnaficha ujinga na upumbavu wenu! Huyo Magufuli aloshafariki mnamleta kwenye mjadala wa nini? Huyu mama kama Anashindwa kujisimamia kwenye masuala nyeti kama ya mafuta na gesi nayo imepanda lazima ukweli usemwe! Ila zio kila anayemkosoa mama ni team Magufuli hapo tunaharibu Sana!
Utaikodisha hata kwa maharusi mkuu kama kweli umeagiza gari! Kama bebiwoka iweke uber tuDuuuh nmeagiza gari, ila kwa bei hizi za mafuta nimepigwa Ganzi Nzito Saaana.