Zote ni taasisi za serikali hizo, watashirikiana kupeana taarifa. Kwa tulipofikia hata ukipeleka malalamiko ya vifurushi vya internet DAWASA au Muhimbili National Hospital ni sawa tuππ.Ni EWURA au TCRA? sijaelewa hapa EWURA na internet wapi na wapi?
DahπZote ni taasisi za serikali hizo, watashirikiana kupeana taarifa. Kwa tulipofikia hata ukipeleka malalamiko ya vifurushi vya internet DAWASA au Muhimbili National Hospital ni sawa tuππ.
OK... kwahiyo na DAWASCO, TANESCO e.t.c na wenyewe waki bill kwa siku 30 ni sawa? Na kwanini hawafanyi hivyo?
Nime omba MODS wanibadilishie title ... cha msingi nadhani umeelewa msingi wa hoja yanguNi EWURA au TCRA? sijaelewa hapa EWURA na internet wapi na wapi?
ππZote ni taasisi za serikali hizo, watashirikiana kupeana taarifa. Kwa tulipofikia hata ukipeleka malalamiko ya vifurushi vya internet DAWASA au Muhimbili National Hospital ni sawa tuππ.
Inaonekana mdau ana shida nao wote sasa kesi ya kichwa kapasua mguu ya mguu anatarajia kupasua kichwa.Ni EWURA au TCRA? sijaelewa hapa EWURA na internet wapi na wapi?
tanesco ni prepaid, yaani LUKU, lipa kwa uwezo wako, unalipa kwanza let say unit 30 ndo hizohizo utakazotumia. na pia kuna wateja wa postpaid mfano kambi za jeshi au magereza hawa wanalipa kwa siku thelathini hizo unazosema.OK... kwahiyo na DAWASCO, TANESCO e.t.c na wenyewe waki bill kwa siku 30 ni sawa? Na kwanini hawafanyi hivyo?