EWURA waongezewe Ulinzi, wanatufumbua macho

EWURA waongezewe Ulinzi, wanatufumbua macho

Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii hatuwezi kuuona mwisho wake kwa macho ya kawaida; kutoka kifo cha rais jeuri na sasa rais mpole lkn out of touch na hali halisi ya maisha ya watu huku uraiani

However it will be, kiongozi lazima awe na akili na utashi vinvyojitegemea na kujitosheleza
 
Zambia na Malawi ni Nchi ndogo sana kijografia na hata ki-resources-hao wangekuwa na Natural resources kama tulizonazo sisi wangekuwa mbali sana
Zambia ni kubwa mara mbili kuizidi South Korea na kwa raslimali.

Rwanda iko juu kiuchumi Ina ukubwa na raslali gani? Na je, kuna vyama vya siasa na katiba bora huko?
 
Huko Malawi ambako upinzani umechukua nchi kwa tabu Sana, mtu kashtakiwa kwa kumuongelea vibaya rais kwenye group la Whatsapp.

Hawa wapinzani wakishika nchi wanaweza kuwa wabaya kuliko hata hii CCM.
Afrika na uafrika ndiyo tatizo kubwa. Hata hapo Kenya aliposhika madaraka mpinzqji nchi ikaingia kwenye machafuko kwasabb mpinzani Kibaki alitangazwa kwa nguvu kuwa mshindi na mwenyekiti wa time ya uchaguzi ndg Kivuitu.
 
Hatua zinazochukuliwa na EWURA kupandisha bei ya mafuta kila wiki kwa sh. 300 hadi 500 zaweza kuwa ni baraka tusiyoitarajia

Hatua kama hizi ziliweza kuleta mabadiliko ya fikra na uongozi katika baadhi ya mataifa, tuwaache waendelee hadi kikombe kijae..

Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii hatuwezi kuuona mwisho wake kwa macho ya kawaida; kutoka kifo cha rais jeuri na sasa rais mpole lkn out of touch na hali halisi ya maisha ya watu huku uraiani

Na uzuri EWURA hawana kazi nyingine wanayofanya zaidi ya kutangaza tu kupanda kwa bei za mafuta na kulipana posho na mishahara minono

Muda ni mwalimu mzuri
Naona sasa hivi teamJPM walilia Katiba Mpya🤣🤣
 
Zambia ni kubwa mara mbili kuizidi South Korea na kwa raslimali.

Rwanda iko juu kiuchumi Ina ukubwa na raslali gani? Na je, kuna vyama vya siasa na katiba bora huko?
uchumi w rwanda uko wapi? Dependent country 40% bajeti?
 
Xx mnajidai kuelewa. Na kuukasirikia uongozi utazani chanzo hamkijui yaani wa tz ni wajinga wengi kweli..sio kila kitu mueke siasa
 
Hata ingekuwa chadema ama chama chochote kingine cha siasa ndiyo kilo madarakani kwa sasa bei zingepanda tu. Acha kutafuta uchochoro mfu wa kufanya siasa.

Tafuteni hoja mbadala za kudumu zitakazowatofautisha wapinzani na chama tawala. Siyo kutegemea matukio.

Vita ya Ukraine ikimalizika na bei za mafuta zikashuka mtasema nn? Wanasiasa wa aina yako siwapendi sana
Ukweli ni kwamba, angekuwepo JPM bei zisingepanda kwa speed hii ya 4G.
Acheni visingizio vya Vita vya Urusi na Ukraine. Huo ni ushamba.
Vitu vilianza kupanda bei hata kabla ya vita vya Urusi na Ukraine.
Ipo hivi:-
√Wakati wa JPM vibaka, majambazi na panyaroads hawakuwepo, kwa nini sasa wamerudi?
√Wakati wa JPM hakukuwa na katika katika ya umeme, kwa nini iwe sasa.
Acheni ushamba, tembeeni kwenye ukweli.
 
Tuache kuwa watu wasiotumia akili zote. Sawa bei ya mafuta ni global crisis. Lkn hizo charges zoooote walizoweka kwanini wasiondoe kupunguza mzigo kwa mlaji wa mwisho?

Ndio jua ni kali kwanini tunalqzimishana kuota moto mchana tena?
 
Engineer soma hio.... Kamba inasoma urefu ngapi huko....


Tumeshaliwa,, hakuna idea mpya nchi nzima tumetulia tunaenda na upepo
 
Back
Top Bottom