Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457

Kwa sheria sijui kifungu kinasemaje, lakini kwa tafsiri ya Masebu jana, maana yake ni:

1. Makampuni husika yawe yameendelea na biasha within 24 hrs,

2.Yaache kuingilia na kuvuruga mfumo wa uuzaji mafuta

3. Yatoe maelezo kwa nini yasichukuliwe hatua kwa kukiuka sheria, hasa kipengele kinachozuia wafanyabiashara kukaa na kupanga bei.

Wakishindwa kukcomply, Order inapelekwa Mahakama Kuu kukazia hukumu, baada ya hapo hatua zaidi zinachukuliwa kwa amri ya mahakama, kama vile serikali kutumia miundombinu yake kuagiza na kusambaza mafuta, labda wakikata rufaa Court of Appeal.

_Uko sahihi, isipokuwa rufaa inapelekwa Fair Competition Tribunal
Uko sawa.

Kwa mujibu wa Masebu, rufaa inayokwenda fair competition ni ya bei ya mafuta ambayo hawakuikata, hii ya comliance order (sawa na amri ya high court, inakwenda court of appeal
Uzuri wa sheria za Copy and Paste
Unamaanisha nini kwa kusema "uzuri wa sheria za Copy and Paste"? Kwamba tumeiga za Waingereza au sijui Wahindi?
Kuchukua sheria toka say south africa(cannon law) as oppossed to common law na kuileta wholesale bila kubabadilisha some important principles. Kwenye hii inaelekea once ukipewa compliance order tayari kesi imekwisha na huna haki ya kusikilizwa. Kwenye common law haki ya kusikilizwa ni haki ya kisheria na kikatiba.
Kwenye Common law injuctive orders ni za kuzuia sasa hiyo compliance order itasaidia nini wakati sisi tunataka mafuta? Kwa mantiki hiyo hilo neno limeokotwa tu toka mahali na kupachikwa tu
Nitajie nchi yoyote duniani ambay hai-regulate bei ya mafuta.Nchi nyingi sana zina mashirika ya ku-import mafuta.Guys,
Energy is the game of giants! Sijui kama tunalitambua hilo...kufanya mambo arrogantly au forceful will cost us alot more than doing with dilligency and by putting national interest ahead. Naona kama tunataka kuvuruga mfumo uliopo ili tulete ukiritimba kwa kuitumia tpdc au kuanzisha vikampuni vyetu uchwara vingi....hivi TIOT ilIKUFAJE TENA??