Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Jana jioni nilimsikia Mkurugenzi Mkuu wa EWURA akisema kuwa wametumia kifungu cha sheria (xyz?) kutoa "Compliance order" kwa Makampuni yanayosambaza na kuuza mafuta ...
Kwa wanaofahamu sheria za "kuwepo kwa EWURA" hii "Compliance Order" ina maanisha nini katika "sakata zima" la Biashara ya Mafuta hapa Tanzania?
Nimepitia kwenye tovuti ya EWURa lakini kwenye "orders" column ya "Petroleum" ni "blank"!
http://www.ewura.com/orders.html
Nawakilisha