NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Nauli zitashuka?Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.
Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:
Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.
Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.
Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.
View attachment 3643462View attachment 3643463
Tatizo la akiliMimi naiomba EWURA, chonde chonde, fanya lolote uwezalo ili mwezi ujao bei ya petroli ifike Tsh 10,000/= kwa lita, ili tuone kama hawa wenye Vi-Toyota corolla au vi Passo sijui Carina namba A au B au C wataviingiza barabarani.
Hivi vigari vichafu chafu vinatujazia nzi na foleni huku Dar es aalaam.
Umeamua kunitusi bila kuchekecha muktadha wa nilichokiandika.Ni kwa kuwa we fukara mshamba huielewi biashara ya mafuta. Dizeli kushuka kwa sh 204 ni punguzo kubwa sana matajiri wanajua ila maskini km wewe utabaki ulivyo mpaka kiama
Bei bado ipo juuMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.
Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:
Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.
Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.
Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.
View attachment 3643462View attachment 3643463
Niliambiwa kuwa Abdl anafanya biashara ya kuingiza mafuta. Hivyo vita dhidi ya Iran imechukuliwa kama kisingizio, lakini lengo kuunikitengeneza faid kubwa kupindukia kupitia wizi wa bei. Bila CCM kuondoka, Watz wote wataendelea kubakia kuwa watumwa wa familia fulani zenye uhusiano na watawala.Yaan kwenye kupanda walipandisha 1000 kwa wakat mmoja ila kwenye kushusha wanashusha kwa shilingi 100 kwa mwezi
Upo sahihi mkuu wanapandisha 1000 harafu wanashusha 92 vita ikiendelea utasikia wanapandisha 500 wanarudi kwenye bei yao ile ile..Umeamua kunitusi bila kuchekecha muktadha wa nilichokiandika.
Sijazungumzia biashara ya mafuta wala wafanya biashara na faida zao mie.
Ninajua nyongeza ya senti ama shilingi kwa mfanyabiashara namna inavyoleta ukwasi.
Nimeongelea maisha ya watu.
Mafuta yaliongezwa zaidi ya sh. elfu, je kupunguza mia ndiyo kuboresha maisha yao?
Halafu nyie chawa, mbona huwa mnajizima data sana?
Wadhani kutukana mtu ndiyo kujenga hoja?
Nimekustahi.
wanaonufaika na punguzo hili ni wafanyabiashara wakubwa.Hivi kupunguza sh. 100 ama 90 unaweza kujigamba hadharani kwamba umepunguza bei ili kuboresha maisha ya watu na hatua kali zichukuliwe kwa watakaokaidi!
Ninacheka kwa kukenua meno bila bashasha huku uso umenuna kwa chuki.
Mbona yule muasisi wa kashifa ya: vi-corolla vichafuchafu Dar es Salaam kwamba ndiyo chanzo cha foleni na uchafuzi wa mazingira ya jiji aiposema hivyo mliufyata?Tatizo la akili
Bei ilipanda kwa kasi kubwa kama inashuka gari mteremko lakini sasa hivi inashuka kama inapanda mlimaMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.
Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:
Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.
Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.
Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.
View attachment 3643462View attachment 3643463
Wewe imepungua 90 wakati ilipanda 2000 harafu unatoka nje unachangilia, are you normal?Pumbavu mamako we pimbi, wapumbavu wa chadema roho inawauma wangetaka bei ipande wapate hoja za kuendesha siasa za majitaka
Nyie nunueni sijui EV, Solar panels etc, lakini tutawawekea tozo za kufa mtu kwenye hizo EV na Solar zenu hadi mjutie kuzaliwa bongo.Time to invest in electric cars, solar panels na battery storage kwenye nyumba zetu ili kuwakata hawa umbwa cartels na TANESCO, ukipiga hesabu vizuri utaacha kuwa mteja wao
Mpumbavu weweNyie nunueni sijui EV, Solar panels etc, lakini tutawawekea tozo za kufa mtu kwenye hizo EV na Solar zenu hadi mjutie kuzaliwa bongo.