EWURA yashusha Bei za Mafuta : Petroli Imeshuka Tsh 92, Dizeli Tsh 204 na Mafuta ya Taa Tsh 440

EWURA yashusha Bei za Mafuta : Petroli Imeshuka Tsh 92, Dizeli Tsh 204 na Mafuta ya Taa Tsh 440

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.


Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:


Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.

Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.

Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.

View attachment 3643462View attachment 3643463
Nauli zitashuka?
 
Mimi naiomba EWURA, chonde chonde, fanya lolote uwezalo ili mwezi ujao bei ya petroli ifike Tsh 10,000/= kwa lita, ili tuone kama hawa wenye Vi-Toyota corolla au vi Passo sijui Carina namba A au B au C wataviingiza barabarani.

Hivi vigari vichafu chafu vinatujazia nzi na foleni huku Dar es aalaam.
Tatizo la akili
 
Kupanda iliongezeka 1000/= kavu mwezi mmoja hlf ikaongezeka 200/= mwezi unaofuata.

Kushuka inachechemea tu hata 200/= haijafika miezi miwili ya kushuka.

BTW: Juzi nimekuta watu wanachaza mafuta kwenye madumu kituo cha mafuta kidogo niuvae huo mkenge.😁
 
Ni kwa kuwa we fukara mshamba huielewi biashara ya mafuta. Dizeli kushuka kwa sh 204 ni punguzo kubwa sana matajiri wanajua ila maskini km wewe utabaki ulivyo mpaka kiama
Umeamua kunitusi bila kuchekecha muktadha wa nilichokiandika.

Sijazungumzia biashara ya mafuta wala wafanya biashara na faida zao mie.

Ninajua nyongeza ya senti ama shilingi kwa mfanyabiashara namna inavyoleta ukwasi.

Nimeongelea maisha ya watu.

Mafuta yaliongezwa zaidi ya sh. elfu, je kupunguza mia ndiyo kuboresha maisha yao?

Halafu nyie chawa, mbona huwa mnajizima data sana?

Wadhani kutukana mtu ndiyo kujenga hoja?

Nimekustahi.
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.


Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:


Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.

Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.

Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.

View attachment 3643462View attachment 3643463
Bei bado ipo juu
 
Yaan kwenye kupanda walipandisha 1000 kwa wakat mmoja ila kwenye kushusha wanashusha kwa shilingi 100 kwa mwezi
Niliambiwa kuwa Abdl anafanya biashara ya kuingiza mafuta. Hivyo vita dhidi ya Iran imechukuliwa kama kisingizio, lakini lengo kuunikitengeneza faid kubwa kupindukia kupitia wizi wa bei. Bila CCM kuondoka, Watz wote wataendelea kubakia kuwa watumwa wa familia fulani zenye uhusiano na watawala.
 
Walipandisha Tsh 1000 kwa wakati mmoja mafuta yapo bei ile ile ya zamani wao wanashusha Tsh 92 ni kama wanafaidika na hii vita...
 
Umeamua kunitusi bila kuchekecha muktadha wa nilichokiandika.

Sijazungumzia biashara ya mafuta wala wafanya biashara na faida zao mie.

Ninajua nyongeza ya senti ama shilingi kwa mfanyabiashara namna inavyoleta ukwasi.

Nimeongelea maisha ya watu.

Mafuta yaliongezwa zaidi ya sh. elfu, je kupunguza mia ndiyo kuboresha maisha yao?

Halafu nyie chawa, mbona huwa mnajizima data sana?

Wadhani kutukana mtu ndiyo kujenga hoja?

Nimekustahi.
Upo sahihi mkuu wanapandisha 1000 harafu wanashusha 92 vita ikiendelea utasikia wanapandisha 500 wanarudi kwenye bei yao ile ile..
 
Hivi kupunguza sh. 100 ama 90 unaweza kujigamba hadharani kwamba umepunguza bei ili kuboresha maisha ya watu na hatua kali zichukuliwe kwa watakaokaidi!

Ninacheka kwa kukenua meno bila bashasha huku uso umenuna kwa chuki.
wanaonufaika na punguzo hili ni wafanyabiashara wakubwa.
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.


Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:


Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.

Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.

Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.

View attachment 3643462View attachment 3643463
Bei ilipanda kwa kasi kubwa kama inashuka gari mteremko lakini sasa hivi inashuka kama inapanda mlima
 
Market economy ya bongo ni uhuni mtupu and full of corruption , imagine kuagiza na kuuza mafuta ni kwa kibali maalum kwa watu maalum, sukari, internet ni hivyo hivyo tuu, ndio maana hawataki star link na viwanda vya sukari vinahujumiwa kila siku,kwa huu ushenzi maendeleo tusahau
 
Time to invest in electric cars, solar panels na battery storage kwenye nyumba zetu ili kuwakata hawa umbwa cartels na TANESCO, ukipiga hesabu vizuri utaacha kuwa mteja wao
Nyie nunueni sijui EV, Solar panels etc, lakini tutawawekea tozo za kufa mtu kwenye hizo EV na Solar zenu hadi mjutie kuzaliwa bongo.
 
Back
Top Bottom