Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
KUMB: PPR/2024-11/01
- EWURA yatangaza Bei Kikomo za Mafuta kwa Mwezi Agosti, yamepanda tena
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 6 NOVEMBA 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 6 Novemba 2024 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Novemba 2024, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali Na. 1 na 2, mtawalia Jedwali 1: Bei Kikomo za Rejareja (Shilingi Lita)
PIA SOMAMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 6 Novemba 2024 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Novemba 2024, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali Na. 1 na 2, mtawalia Jedwali 1: Bei Kikomo za Rejareja (Shilingi Lita)
- EWURA yatangaza Bei Kikomo za Mafuta kwa Mwezi Agosti, yamepanda tena