Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikunguru ijiru[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nauliza kwanini imepanda? ijapo bei ya petroli ni cha mtoto kwenye mafuta ya kula,,,tunaelekea wapi? na tufanyeje kuzuia vitu kupanda? naomba ushauri wenu
Hivi ile ruzuku serikali inayotoa kukabiliana na bei ya mafuta, ni nani anachukua ?ni wafanyabiashara wa au?Duh, aisee.
Wafanyabishara wa mafuta wanapata faida kubwa sana.
Fikiria jamaa aliekua na shehena ya mwezi ya hadi leo, kesho ana bei mpya kabisa anapiga hela.