EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

Hata kuleta Discipline Magufuli alijitahidi, na kukusanya pesa.

Ila Magu alikuwa akitafuta pesa kwa Akili ya CCM na genge lake, budget muhimu muhimu kama Afya na Elimu zilitupwa huko.

Kama Mtu alikuwa Ana Guts za kupunguza Bajeti hadi ya Elimu unategemea atamsaidia Masikini kujikwamua na Majanga?
Alikuwa hafai hata kidogo
 
Sasa hivi ni kipindi cha kujenga urafiki wa karibu na Wazanzibari aka wa Pemba, Wasukuma tupa kule kwa Sasa, ukiwakosa Wapemba angalu tafuta Wakwere wa Chalinze kidogo Mambo yako yanaweza nyooka vizuri!!
Labda nicheki na wakwere
 
[emoji120][emoji120][emoji120] tushukuru kwa hiki, SRI LANKA hawana kabisa hayo mafuta ya kununua hata kwa Lita buku 10.

Fuatilieni taarifa za kimataifa mjionee athari za ule mzozo.
Tushukuru kwa kipi sasa, watashukuru wasiokuwa na vyombo vya moto na wale bendera fata upepo.
 
Si huwa tunawaambia hakuna Rais hapa na mnabisha. Rais huwa hapimwi kwa kuvaa suti na kupanda ndege, Rais hupimwa kwa changamoto anazopitia na response yake na mikakati endelevu. Huwezi beba mtu mwenye elimu haieleweki imepatikaje, timeline na mtiririko wake havieleweki ukampachika cheo kutimiza usawa wa kijinsia kisha ukampa nafasi ya juu ya nchi "kwa kudra za Mwenyezi Mungu" ukatarajia maajabu. Sanasana akiweza ni kusoma hotuba anayoandikiwa, kuigiza jambo ambalo hata Ebitoke anaweza na kusafiri.

India inanunua mafuta bei nafuu kutoka Urusi na inauza tena soko la dunia, inanunua pia makaa ya mawe kwao. China inanunua gesi nafuu kwao. Tanzania haiwezi nunua kwa Urusi kwa sababu HAINA AKILI, nchi nzima ni vilaza watupu. Nchi zenye akili huwezi ongoza bila maono ukabaki. Ujerumani na nchi kibao za Ulaya zinanunua gesi Urusi, anayesema hatuwezi nunua kwao kisa sanctions mbona hao wazungu walioweka sanctions bado energy sources wananunua uko na isitoshe nishati haina sanctions kivile. Sanasana tatizo hapa ni SWIFT ya kufanyia malipo, ila mbona India wanalipa kwa njia mbadala. Hapa ndio akili zinatakiwa kuwa na alternatives.

Nenda Urusi agiza mafuta subiri tankers zije. Mambo ya vibari na mikataba ndio tujue umuhimu wa kuwa na mikataba inayotupa advantage
Ushabiki maandazi huu, umendika kindezi mno, chuki na vitu kibao. Ujinga mzigo.
 
Duh, aisee.

Wafanyabishara wa mafuta wanapata faida kubwa sana.

Fikiria jamaa aliekua na shehena ya mwezi ya hadi leo, kesho ana bei mpya kabisa anapiga hela.
Kuna wakati yanashuka yanamkuta na shehena mkuu
 
Si huwa tunawaambia hakuna Rais hapa na mnabisha. Rais huwa hapimwi kwa kuvaa suti na kupanda ndege, Rais hupimwa kwa changamoto anazopitia na response yake na mikakati endelevu. Huwezi beba mtu mwenye elimu haieleweki imepatikaje, timeline na mtiririko wake havieleweki ukampachika cheo kutimiza usawa wa kijinsia kisha ukampa nafasi ya juu ya nchi "kwa kudra za Mwenyezi Mungu" ukatarajia maajabu. Sanasana akiweza ni kusoma hotuba anayoandikiwa, kuigiza jambo ambalo hata Ebitoke anaweza na kusafiri.

India inanunua mafuta bei nafuu kutoka Urusi na inauza tena soko la dunia, inanunua pia makaa ya mawe kwao. China inanunua gesi nafuu kwao. Tanzania haiwezi nunua kwa Urusi kwa sababu HAINA AKILI, nchi nzima ni vilaza watupu. Nchi zenye akili huwezi ongoza bila maono ukabaki. Ujerumani na nchi kibao za Ulaya zinanunua gesi Urusi, anayesema hatuwezi nunua kwao kisa sanctions mbona hao wazungu walioweka sanctions bado energy sources wananunua uko na isitoshe nishati haina sanctions kivile. Sanasana tatizo hapa ni SWIFT ya kufanyia malipo, ila mbona India wanalipa kwa njia mbadala. Hapa ndio akili zinatakiwa kuwa na alternatives.

Nenda Urusi agiza mafuta subiri tankers zije. Mambo ya vibari na mikataba ndio tujue umuhimu wa kuwa na mikataba inayotupa advantage
Kabisa mkuu!
.
Na India angekaza fuvu kwa kufuatisha mabeberu kama hizi tahira zetu, raia wa India wangechoma Ikulu.
 
Hiyo hela wanasema wametenga bii kadhaa ili kudhibiti bei ya mafuta inatumikaje!!??
 
Ndg yangu hata usipoaamini,wenye Nchi wameamua iwe hivyo na itakua hivyo! Labda Mungu aingilie Kati!!
😀 😀 😀Mungu aingilie kati tenaa wakati sisi tunaonesha tumekubaliana na hali
 
Daressalaam Bei ilikuwa 2900+ baada ya ruzuku , imekuwaje ikapanda kufika 3200+ ??
Faida ya hio ruzuku ni Ipi ?
 
Kabisa mkuu!
.
Na india angekaza fuvu kwa kufuatisha mabeberu kama hizi tahira zetu, raia wa india wangechoma ikulu.
India kuna wenye maisha magumu wengi sio kama Finland au Poland. Kwanini Ujerumani inunue gesi Urusi ila sisi tusinunue mafuta kwao. Kwanini wanataka Urusi isizuie nafaka kusafirishwa, na ikileta za kwake wananunua. Vita ni yao sisi haituhusu
 
Hata ikiwa laki mtanunua maana akili zenu za kawaida.
 
Kwani hujasoma hilo jedwali la bei za mafuta! Wameandika bei kabla ya ruzuku na bei baada ya ruzuku, kwahiyo unaweza kuona kama wasingepewa hela za ruzuku mafuta yangeuzwaje!?
Hizo bei kabla ya Ruzuku zilikuwa wapi
 
Back
Top Bottom