Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hamna Kiongozi pale.. ni hewa kabisa, mtupuuuu .Hiyo hela walio kopa ni bora wangeijengea hata barabara huko vijijini sasa ndo utopolo gani umefanyika hapo ama ndo pesa zimeshagawanwa na masela maana sijaona hata upungufu ni usanii tu ...hili li nchi sanaaa aliiweza Jpm tu.
Ukimuuliza Bilion 100 zimefanya nini?? Sasa mwezi wa nane ,wanatangaza Tena mpya..mwezi wa kumi, kumi na mbili, mwakani yaan Kila baada ya miezi miwili EWURA haoooo!!
Hamna kitu, tumepigwa Sanaa, kwenye nyakati kama hizi za Crisis Huwa UNAHITAJIKA KUA NA RAIS MWENYE AKILI, MBUNIFU, MISIMAMO, MWENYE UTHUBUTU NA KUJIAMIN ,MZALENDO .!!
SASA KAMA WAFANYABIASHARA WANDANI SAHIZI BEI WANAJIPANGIA WANAVYOTAKA, NCHI IMEKOSWA BEI ELEKEZI ,,,, ATAWAWEZA HAWA MABWANYENYE!????
Tukisema Magufuli Alikua Mwamba, muwe mnatuelewa !!.