Ni juu kulingana na kipato maanake nchi kama USA ni bei nafuu kuliko Sisi na wananchi wana kipato kikubwa.Tanzania ni moja ya nchi ambayo bei ya gasoline ipo average, si juu sana na wala si chini sana...kawaida huwa tunacheza 1USD per liter
Yes, US wao wanachimba crude oil na kuifanyia refinery ndio maana wametuzidi kiasi...Ni juu kulingana na kipato maanake nchi kama USA ni bei nafuu kuliko Sisi na wananchi wana kipato kikubwa.
Gari likikwama tusipokusukuma utasema maskini hampendi tajiriMtu ukimnyima lift anakuona una roho mbaya
Hizo nchi za Ulaya kipato kina justify bei zao huwezi kulinganisha na Tz.Yes, US wao wanachimba crude oil na kuifanyia refinery ndio maana wametuzidi kiasi...
Mfano nchi nyingi za Ulaya zimetuzidi kipato na bado bei za mafuta ni mara mbili zaidi ya hapa kwetu, mfano nchi kama Italia mafuta ni aghali kidogo...
Venezuela ndio nchi yenye kuwauzia raia wake mafuta bei chee kwa wastani wa 0.02USD...
Ile crude ya Uganda ingewezekana kuisafisha hapa hapa East Africa, tungeula sana
Kwa hiyo hii 1000 per ltr ni fair kabisa1000/-
Utaelewa siku utakapoliacha gari lako uwani 😂Sijakuelewa hapo
Nyie mtapungunguziwa ongezeni sauti tu kwenye mapambio,kama awamu tangulizi,kwani dalili za mwendo uleule zimeanza kuenea kwa kasi ya 4G.Sisi mataga tutauziwa kwa bei hiyo!??
Ha ha ha.Utaelewa tu utakapoona magari yanapungua barabarani
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu ukimnyima lift anakuona una roho mbaya
Passo nasukuma mwenyeweGari likikwama tusipokusukuma utasema maskini hampendi tajiri
Mkuu unaupiga mwingi sana [emoji23][emoji23]Utaelewa siku utakapoliacha gari lako uwani [emoji23]