EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

Nadhani ni katika ule muendelezo wa kuvunja rekodi, hii bei si ndo itakuwa ya juu zaidi kwa sasa na pengine ndio ongezeko kubwa kwa kipindi cha siku 100 za kwanza?

Kazi iendelee.
Hii record haijavunjwa kwa miaka 15
 
Miaka 30 kutoka sasa kutakuwa na wahamiaji haramu kutoka uarabuni kuliko kawaida! Biashara ya wese inaenda kuuliwa na akina electric engines n machines[emoji3]

Usitegemee hiki kitu maana wao pia wanakiona ndo mana wanabadilika wanaenda kwenye utalii na viwanda
 
Sema kimeu..manaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kimsingi bei ya petroli imeongezeka kwa shilingi 56, hiyo shilingi 100 nyingine ni tozo mpya kupitia kwenye mafuta baada ya Bunge kupitisha mapendekezo ya Waziri wa Fedha kuongeza tozo hiyo kwenye bajeti ya mwaka huu ambayo imeanza kutumika leo ambao ni mwaka mpya wa serikali.

Vv
 
N
Kumbe ni ile tozo ya uzalendo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…