kumbe nyinyi ndo mnajiandaa kuwa first year mwaka huu,ndo maana mnacomment ovyo kwa sababu hamjui mlitendalo,kwanza matokeo yenu wamefanya standardization la sivyo mngeenda kuuza mitumba,ila mshukuru TCU wamewapeleka vyuo vya kata mtasurvive kidogo,lakini UDSM utakuwa unaisikia hewani hewani
Jaman naomba msamaha mm..naona hali ya hewa inataka kunichafukia..!!mm napenda tu kuwachallenge wenzangu..
OIL SUMU mbishi yule..ukimwita wewe labda atakuelewa.. Maana mdogo wake mpiga msuli sijui mmemfungia wap?..
oil sumu naomba usiongee na hawa wa vyuo vya kata,maisha matamu sana ukiwa UDSM
Sifia chuo chako baada ya kuona ma2nda yake baadae....this is not the time kulumbana chuo hiki bora na kile sio,Wakati hata ku'report chuo bado
Wapi oil sumu???
oil sumu hawez kuingia humu ataishia getini coz atashambuliwa mpaka ahame jamvini...kuna dogo mwngne anajiita flyn ryder nae ana ako kamchezo kachaf
Jaman naomba msamaha mm..naona hali ya hewa inataka kunichafukia..!!mm napenda tu kuwachallenge wenzangu..
ww umepangiwa TEKU
Asee uyu oil sumu angepata main campus angetuuwa kwa masifa...university of dar-es-salaam kipo dar,muce kipo dar sehem gani...???
Fata mambo yako
Another fool of fools...ungefanyaje kama branch zote za udsm zingekua dar<br />By xir jyerphy<br />
Asee uyu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=153216" target="_blank">oil sumu</a></b> angepata main campus angetuuwa kwa masifa...university of dar-es-salaam kipo dar,muce kipo dar sehem gani...???
<br />
ww m ctak kusoma dar coz ndipo nlpo zaliwa na kusoma msng na o level ila nataka kusoma under udsm
Sifia chuo chako baada ya kuona ma2nda yake baadae....this is not the time kulumbana chuo hiki bora na kile sio,Wakati hata ku'report chuo bado
Sipo kwani vipi
Another fool of fools...ungefanyaje kama branch zote za udsm zingekua dar
ww m ctak kusoma dar coz ndipo nlpo zaliwa na kusoma msng na o level ila nataka kusoma under udsm