Ex-4m6's tuache nyodo safari ndio kwanza inaanza

Ex-4m6's tuache nyodo safari ndio kwanza inaanza

kumbe nyinyi ndo mnajiandaa kuwa first year mwaka huu,ndo maana mnacomment ovyo kwa sababu hamjui mlitendalo,kwanza matokeo yenu wamefanya standardization la sivyo mngeenda kuuza mitumba,ila mshukuru TCU wamewapeleka vyuo vya kata mtasurvive kidogo,lakini UDSM utakuwa unaisikia hewani hewani
 
oil sumu naomba usiongee na hawa wa vyuo vya kata,maisha matamu sana ukiwa UDSM
 
kumbe nyinyi ndo mnajiandaa kuwa first year mwaka huu,ndo maana mnacomment ovyo kwa sababu hamjui mlitendalo,kwanza matokeo yenu wamefanya standardization la sivyo mngeenda kuuza mitumba,ila mshukuru TCU wamewapeleka vyuo vya kata mtasurvive kidogo,lakini UDSM utakuwa unaisikia hewani hewani

peleka na wewe masifa yako,unapondaje 1st year,uwezo mdogo wa kufikiria kama kondoo.... TCU ndio wameweka vyuo vya kata wee maku maku nini?
 
Asee uyu oil sumu angepata main campus angetuuwa kwa masifa...university of dar-es-salaam kipo dar,muce kipo dar sehem gani...???

ww m ctak kusoma dar coz ndipo nlpo zaliwa na kusoma msng na o level ila nataka kusoma under udsm
 
Last edited by a moderator:
By xir jyerphy<br />
Asee uyu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=153216" target="_blank">oil sumu</a></b> angepata main campus angetuuwa kwa masifa...university of dar-es-salaam kipo dar,muce kipo dar sehem gani...???
<br />
<br />
ww m ctak kusoma dar coz ndipo nlpo zaliwa na kusoma msng na o level ila nataka kusoma under udsm
Another fool of fools...ungefanyaje kama branch zote za udsm zingekua dar
 
Sifia chuo chako baada ya kuona ma2nda yake baadae....this is not the time kulumbana chuo hiki bora na kile sio,Wakati hata ku'report chuo bado

Mbona na wewe umeanza kwa nyodo..!?? "ex-4m6s, ma2nda" ndio vitu gani !? Tutakutofautishaje wewe unaeingia chuo kikuu na wale laki mbili na elfu sitini failures wa Mulugo kama uandishi wenu ni wa aina moja!? don't tell me you're going to the versity with that childish mentality... you can't be serious kido..!
 
ww m ctak kusoma dar coz ndipo nlpo zaliwa na kusoma msng na o level ila nataka kusoma under udsm

Na ndio maana "MMEPANGIWA" I can't imagine a prospective University student writting like that..!? Kwa mnaoenda Mlimani Education na social sciences I wish mngemkuta my brother Mweteni kwenye CL106 mkaandika hivyo mngeona , angewatia kichefuchefu cha semester nzima.
 
Back
Top Bottom