Mbona na wewe umeanza kwa nyodo..!?? "ex-4m6s, ma2nda" ndio vitu gani !? Tutakutofautishaje wewe unaeingia chuo kikuu na wale laki mbili na elfu sitini failures wa Mulugo kama uandishi wenu ni wa aina moja!? don't tell me you're going to the versity with that childish mentality... you can't be serious kido..!
Asee uyu oil sumu angepata main campus angetuuwa kwa masifa...university of dar-es-salaam kipo dar,muce kipo dar sehem gani...???
Sio kosa lako ni kwamba hujajielewa na unachojibu
Na ndio maana "MMEPANGIWA" I can't imagine a prospective University student writting like that..!? Kwa mnaoenda Mlimani Education na social sciences I wish mngemkuta my brother Mweteni kwenye CL106 mkaandika hivyo mngeona , angewatia kichefuchefu cha semester nzima.
Kama umeweza kutambua kuwa kuna kutojitambua na kutojielewa ni hatua nzuri pia though in an opposite direction. UKIKUA UTAACHA..
Na ndio maana "MMEPANGIWA" I can't imagine a prospective University student writting like that..!? Kwa mnaoenda Mlimani Education na social sciences I wish mngemkuta my brother Mweteni kwenye CL106 mkaandika hivyo mngeona , angewatia kichefuchefu cha semester nzima.
Akiulizwa unasoma wapi atasema "nipo mliman iringa"..maana anawezekana akaenekana chz..afadhal ya mimi tumeshare mageti sio yeye alieko iringa
Hongera naona unaanza ku show changes
Duu hii kitu imekaa kipumba-,pumba hivi!!! Em broo katowe tongotongo uje na initiative posts sio unatuletea aproaches zisizo na mantiki
Nafurahi kuona sasa unaandika vizuri, nikuombe na pale post ya kwanza ui hariri na kuandika "matunda" badala ya "ma2nda" Ikíwezekana muombe Invisible akurekebishie heading isomeke "Ex-form sixs"
Both CL, DS101 and 102 sijui kama kuna survivor humu! Brother just get outta here, hili jukwaa lilikua one of my favorite lounge, ila tangu vijana wa tcu wavamie nimehama kwa muda!!
Heheh nilijua tu wewe hujielewi hapo nimeandika vizuri sasa?
Kweli kama unataka "initiative posts" na umeona "aproaches" lazima uione imekaa kipumba pumba kama ulivyosema. Nakuomba utafute kamusi kisha rejea hayo maneno kwenye quotation marks urekebishe then uje hapa twende sawa.
kwan yy n nan
Hapa tumeingiliwa na msomi tapeli...initiative=a new way of dealing with a problem...approach=to make an attemp at solving a problem or making policy....tatizo wasomi wetu wa bongo mnacram sana ata uwe na phd lakin kama wewe ni wa kukariri ata mtoto wa prinary atakutoa knok-out