Ex-4m6's tuache nyodo safari ndio kwanza inaanza

Ex-4m6's tuache nyodo safari ndio kwanza inaanza

Hii post itasaidia kidogo, watu humu wana vichwa kama Mawe.
 
Tell them ndugu,hata content hawazijui wanaanza kusifia majina,inasikitisha.ELimu bora ni ile itakayomsaidia yeye na jamii inayomzunguka.
 
wasamehen bure! wala sio kosa lao! ni ulimbukeni 2!
 
wanaweza kwenda chuo kizuri halafu bado akasup na kudsco tu!!!!! N MAKENGE
 
mafanikio hayaji kwa uzuri wa chuo tu na juhudi binafsi zinahusika kwahiyo waache hizo time will tell
 
kweli kbisa kaka,tujipime kwa matunda baaada ya kumaliza na utendaji wa kaz,na sio jina la chuo!
 
ni kawaida tu, wanahitaji muda kuzoea hali.. kila mtu alishawah kuwa mshamba kwa mara ya kwanza.
 
Jaman naomba msamaha mm..naona hali ya hewa inataka kunichafukia..!!mm napenda tu kuwachallenge wenzangu..

Tatizo wewe unataka kuchallenge kama mtu wa kijiweni (un educated person)thts why unashambuliwa! Bt all in all hongera kwa kujitambua sasa.HEBU MUITE NA OIL SUMU AJE HAPA KUUNGAMA
 
Tatizo wewe unataka kuchallenge kama mtu wa kijiweni (un educated person)thts why unashambuliwa! Bt all in all hongera kwa kujitambua sasa.HEBU MUITE NA OIL SUMU AJE HAPA KUUNGAMA

OIL SUMU mbishi yule..ukimwita wewe labda atakuelewa.. Maana mdogo wake mpiga msuli sijui mmemfungia wap?..
 
Back
Top Bottom