Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MblockAnapigaga simu sasa utamkatalia?
Unajiita ALPHA MALE, na unakuja kuomba ushauri wa EX aliyekuomba pesa, kuwa serious basi brooHabari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu
Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.
Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?View attachment 3114202
Kwa sababu unatakiwa kumpa.Kwanini?
mbona umesema mnawasiliana angalau kwa wiki mara mbili, huyo hajafikia viwango vya Ex, huyo mko likizo tu ndio maana bado ana ujasiri wa kuomba pesaNi nani?
Sikuwahigi kumpa hela yeye ndiyo alikuwaga ananipa
Yeye hunipigia almost Kila after two weeks nilivyo calculate na maana Mimi Huwa simpigii kabisambona umesema mnawasiliana angalau kwa wiki mara mbili, huyo hajafikia viwango vya Ex, huyo mko likizo tu ndio maana bado ana ujasiri wa kuomba pesa
Kama unayo mpe tu, Tunaishi maramoja kakaNapenda kujua mawazo ya Wana JF
sasahivi unategesha nini..?😂hatari sana enzi hizo nategesha redio masafa ya AM kuitafuta Kiss FM, redio imeongezewa antena ya waya kah!
sasa mkuu sasahivi kuna nyimbo gani za kutaka utengeshe redio? wanaimba matusi na maudhui ya ngono tena ngono ya kinyume na maumbilesasahivi unategesha nini..?😂
ipigwe nyimbo ya Niamini prof J, au mtoto Off kazua balaa unakaa kwa kutuliasasahivi unategesha nini..?😂
Namhurumia mume wa huyo Binti.Mimi ninaye mmoja ananikubali sana lakini mimi ndo nilizingua mpaka leo huwa anatamani turudi kama zamani na akiwa na shida huwa namsaidia lakini sio mara zote kwa sababu nimetoka naye mbali sana.
Ipo hivi huyu dada nilianza nae mahusiano toka o-level mpka nikamaliza chuo(2013-2019) na kipindi hicho chote tumekuwa wapenzi na marafiki pia, ni moja ya wanawake niliowakuta sealed kabsa na nikaanzisha naye safari ya mapenzi kwa miaka zaidi ya 6...
Kilichonifanya niachane naye ni kuwa mbali kwa muda mrefu, mimi nilipata kazi mkoa Y nilipotoka chuo wakati huo yeye akiwa Dar mwaka wa kwanza chuo X... Basi penzi likapoa hatimaye likafa mimi nikapata pisi nyingine maisha yakaendelea.
Si unajua fimbo ya mbali haiui nyoka, ndo tukapotezeana lakini bado kila mtu alikuwa na feelings kwa mwenzake, huwezi amini yule manzi alikuwa anaomba pesa kwa bwana ake anakata ticket ya ndege kuja mkoani ili anisalimie tu kwa kigezo eti amenimiss na mimi ndo nilimfundisha mapenzi na hawezi kunisahau kamwe😂.
Kufupisha story kama ni watu mliochana kwa mazuri wewe mtumie tu hela wala hakuna shida yoyote.