EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Mbona ameomba hela bila maelezo na wewe umemuuliza sh.ngapi? halafu unatuuliza sisi kama ana akili au hana!!! wewe tuma tu mambo ya akili mtajuana mbele ya safari
Alipiga simu then akatuma na text alishajieleza kwenye simu
 
Unajiita ALPHA MALE, na unakuja kuomba ushauri wa EX aliyekuomba pesa, kuwa serious basi broo
 
mbona umesema mnawasiliana angalau kwa wiki mara mbili, huyo hajafikia viwango vya Ex, huyo mko likizo tu ndio maana bado ana ujasiri wa kuomba pesa
 
mbona umesema mnawasiliana angalau kwa wiki mara mbili, huyo hajafikia viwango vya Ex, huyo mko likizo tu ndio maana bado ana ujasiri wa kuomba pesa
Yeye hunipigia almost Kila after two weeks nilivyo calculate na maana Mimi Huwa simpigii kabisa
 
Huna hela....ungekuwa nayo ungetuma bila kuleta uzi hapa
 
Namhurumia mume wa huyo Binti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…