Nina uhakika 100 % Kama unazo mtumieUnauhakika na unachosema?
Bora mtu uoe uliyemtoa Bikra, vinginevyo unaona mke wa Mtu, Sasa we jamaa mke wa Mtu anakuja na ndege na unamdinya?Namhurumia mume wa huyo Binti.
Bado hajaolewa lakini alikuwa anadate na mjeda flani hivi! 😁Namhurumia mume wa huyo Binti.
Mimi siombi hela...ninazoAu ndiyo wewe?
Mkuu ungekuwa ww usingemdinya🤔??Bora mtu uoe uliyemtoa Bikra, vinginevyo unaona mke wa Mtu, Sasa we jamaa mke wa Mtu anakuja na ndege na unamdinya?
Mpe pesa kama unayo hujui anapitia niniHabari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu
Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.
Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?View attachment 3114202
Kweli...apewe tu sio kumtangaza humuMpe pesa kama unayo hujui anapitia nini
Hazitofika na siwezi mpa
Hawezi kumpa au kutompa,anasubiri ruhusa zetu humu kwanza tumshauri! Haya ni maajabu aisee.Kweli...apewe tu sio kumtangaza humu
Kabisa baby😜Kweli...apewe tu sio kumtangaza humu
sio zote kwani kama hii unaweza kusema ni wimbo mmbaya..?sasa mkuu sasahivi kuna nyimbo gani za kutaka utengeshe redio? wanaimba matusi na maudhui ya ngono tena ngono ya kinyume na maumbile
Sipokeagi simu yake Kwa mda anaopiga Hadi nijisikie Kuna mda nilimbock kabisa alilamika mno Kwa mabrother kuwa Nina kinyongo nikaona sio case ngoja ni unblockKosa kubwa unalolifanya ni kuendelea kuwasiliana nae,
Umesema alikuacha halafu bado unawasiliana nae!!
Kubali tu kua una ka udhaifu fulani hivi,
Hata kitendo cha kuja kuomba ushauri hapa JF eti umtumie hela x wako au usimtumie,inathibitisha kua una udhaifu fulani hivi,
Achana na hiyo Mbuzi angalia maisha yako,piga block namba yake,nina uhakika huko alipo anakudharau sana kwa kuwasiliana nae,anakuona ni kama tairi la spea tu.
Wanaume wa siku hizi wanadeka sana....hadi wakiombwa hela wanakuja kuomba ushauri khaaHawezi kumpa au kutompa,anasubiri ruhusa zetu humu kwanza tumshauri! Haya ni maajabu aisee.
Jamaa alikuwa anampa hela balaa.... Kipindi hatujaachana aliwahi kuunganisha namba yangu na akaunti yake ya benk(sim banking)... Aiseee nilikuwa naona miamala ya jamaa inavyoingia tu, karoho kakaanza kuniuma nikamwambia badilisha hiyo namb haraka😂😂Wajeda siwapendi sifa za kijinga wanazo