EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Kosa kubwa unalolifanya ni kuendelea kuwasiliana nae,

Umesema alikuacha halafu bado unawasiliana nae!!

Kubali tu kua una ka udhaifu fulani hivi,

Hata kitendo cha kuja kuomba ushauri hapa JF eti umtumie hela x wako au usimtumie,inathibitisha kua una udhaifu fulani hivi,

Achana na hiyo Mbuzi angalia maisha yako,piga block namba yake,nina uhakika huko alipo anakudharau sana kwa kuwasiliana nae,anakuona ni kama tairi la spea tu.
 
Bora mtu uoe uliyemtoa Bikra, vinginevyo unaona mke wa Mtu, Sasa we jamaa mke wa Mtu anakuja na ndege na unamdinya?
Mkuu ungekuwa ww usingemdinya🤔??
Suala la kumuoa bado sijalifikiria lakini yeye yupo tayari kwa hilo!!
 
Habari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu

Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.

Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?View attachment 3114202
Mpe pesa kama unayo hujui anapitia nini
 
sasa mkuu sasahivi kuna nyimbo gani za kutaka utengeshe redio? wanaimba matusi na maudhui ya ngono tena ngono ya kinyume na maumbile
sio zote kwani kama hii unaweza kusema ni wimbo mmbaya..?

Kosa kubwa unalolifanya ni kuendelea kuwasiliana nae,

Umesema alikuacha halafu bado unawasiliana nae!!

Kubali tu kua una ka udhaifu fulani hivi,

Hata kitendo cha kuja kuomba ushauri hapa JF eti umtumie hela x wako au usimtumie,inathibitisha kua una udhaifu fulani hivi,

Achana na hiyo Mbuzi angalia maisha yako,piga block namba yake,nina uhakika huko alipo anakudharau sana kwa kuwasiliana nae,anakuona ni kama tairi la spea tu.
Sipokeagi simu yake Kwa mda anaopiga Hadi nijisikie Kuna mda nilimbock kabisa alilamika mno Kwa mabrother kuwa Nina kinyongo nikaona sio case ngoja ni unblock
 
Wajeda siwapendi sifa za kijinga wanazo
Jamaa alikuwa anampa hela balaa.... Kipindi hatujaachana aliwahi kuunganisha namba yangu na akaunti yake ya benk(sim banking)... Aiseee nilikuwa naona miamala ya jamaa inavyoingia tu, karoho kakaanza kuniuma nikamwambia badilisha hiyo namb haraka😂😂
 
Back
Top Bottom