EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Sipokeagi simu yake Kwa mda anaopiga Hadi nijisikie Kuna mda nilimbock kabisa alilamika mno Kwa mabrother kuwa Nina kinyongo nikaona sio case ngoja ni unblock
Unaona sasa! Kua na msimamo,hao mabro wako wana maisha yao na wewe una maisha yako,acha kupangiwa maisha,ishi unavyotaka wewe,

Love the life u live
Live the life u love.
 
Mkuu ungekuwa ww usingemdinya🤔??
Suala la kumuoa bado sijalifikiria lakini yeye yupo tayari kwa hilo!!
Si ana bwana ake afu ni mwanajeshi, au unataka upotezwe ufe?
 
Endelea kumwendekeza hivo hivo! Hela yako hiyo itaenda kukuumiza.
Bora umtumie Mama, baba, mdogo wako au watoe weekend watoto wako watakushukuru kuliko kulea malaya.
Tena hawa mama zetu hata ukiwatumia elfu 20 wanashukrani sana.
Mtu mmeshaachana wa nini tena mawasiliano! Kuna kitu kinatengenezwa kwenye ulimwengu wa roho..endelea..!
 
Mimi niliifutiaga usajiri kabisa
 
Mfano ni mtu mmeachana vizuri bila kugombana na mmekuwa na mawasiliano ya hapa na pale kama family friends????
 
Toa pesa, kama hakuwahi kua selfish ktk safari yenu
 
Mfano ni mtu mmeachana vizuri bila kugombana na mmekuwa na mawasiliano ya hapa na pale kama family friends????
Hapana piga chini! Angekuwa ndugu yako sawa ila ni mtu baki sometimes usiwe na huruma ndugu. Piga block mngekuwa wema mngekuwa pamoja mpaka sahizi..
Kuna bomu linakuja( naongelea kiroho) sasa wewe fikiria kwa akili za kibinadamu.
Mtu mkishaachana achana nae hata kama hamkua na ugomvi..! Kuachana maana yake hamjafiti kiroho.
 
Mzingatie alfu unaendlea na mikausho yako
 
Et ALPHA MALE 😅😅 vijana🙌
 
Itabidi niache hizi huruma, unakuta nimeshatuma hela alafu nabaki najiluamu kwa nini nimefanya hivyo wakat mtu sipo naye tena... Na je mfano akiwa ni mzazi mwenzio ambaye mmeachana???)
 
Itabidi niache hizi huruma, unakuta nimeshatuma hela alafu nabaki najiluamu kwa nini nimefanya hivyo wakat mtu sipo naye tena... Na je mfano akiwa ni mzazi mwenzio ambaye mmeachana???)
Kwa mzazi mwenzio Tuma hela inayotosha matumizi ya mtoto wako.Kama ni ishu ya Ada usimtumie mama tuma moja kwa moja shule yaani uwe na mawasiliano na shule kujua maendeleo.
Na usitume hela nyingi ya matumizi sijui malaki huko hizo ndizo zinazokuja kukuumiza.
Ukituma pesa itume kupitia kwa wakala.

Maana hawa wanawake tuliozaa nao ukituma pesa kuna mambo yafuatayo; vikoba, kausha damu, waganga, kuhonga, unakuta unatuma pesa ila siku ukienda kumwona mtoto wako unaweza toa machozi.

NB; nilishawahi kufanya hivo kwa huruma ya mtoto, nilikua natuma pesa malaki huko ila zilikuja kuniumiza kiroho hizo pesa.
Kuwa makini sana hawa wanawake ambao tumezaa nao na kuachana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…