Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
We mpe mwenzio hela bwana....Ziko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mpe mwenzio hela bwana....Ziko wapi?
ipigwe nyimbo ya Niamini prof J, au mtoto Off kazua balaa unakaa kwa kutulia
Asante dearUmeongea kibinadamu sana
Unaona sasa! Kua na msimamo,hao mabro wako wana maisha yao na wewe una maisha yako,acha kupangiwa maisha,ishi unavyotaka wewe,Sipokeagi simu yake Kwa mda anaopiga Hadi nijisikie Kuna mda nilimbock kabisa alilamika mno Kwa mabrother kuwa Nina kinyongo nikaona sio case ngoja ni unblock
Si ana bwana ake afu ni mwanajeshi, au unataka upotezwe ufe?Mkuu ungekuwa ww usingemdinya🤔??
Suala la kumuoa bado sijalifikiria lakini yeye yupo tayari kwa hilo!!
si umeona kitu hicho yaani hayakuhusu. Mtoa mada hata hili halituhusu chagua kutuma au kutotumaView attachment 3114534 kula chuma hicho
Dah uzi wa jambo la hovyo mechanical sana...shetaniiiiiiiYani miaka 4 mlikuwa kwa mahusiano na mkaachana Mkuu?
Mimi niliifutiaga usajiri kabisaJamaa alikuwa anampa hela balaa.... Kipindi hatujaachana aliwahi kuunganisha namba yangu na akaunti yake ya benk(sim banking)... Aiseee nilikuwa naona miamala ya jamaa inavyoingia tu, karoho kakaanza kuniuma nikamwambia badilisha hiyo namb haraka[emoji23][emoji23]
Inaonekana hajamwelewa jamaa kivile ni kama amefata maokoto tu!!Si ana bwana ake afu ni mwanajeshi, au unataka upotezwe ufe?
Mfano ni mtu mmeachana vizuri bila kugombana na mmekuwa na mawasiliano ya hapa na pale kama family friends????Endelea kumwendekeza hivo hivo! Hela yako hiyo itaenda kukuumiza.
Bora umtumie Mama, baba, mdogo wako au watoe weekend watoto wako watakushukuru kuliko kulea malaya.
Tena hawa mama zetu hata ukiwatumia elfu 20 wanashukrani sana.
Mtu mmeshaachana wa nini tena mawasiliano! Kuna kitu kinatengenezwa kwenye ulimwengu wa roho..endelea..!
Yaani unakuta amesajili laini kwa jina lako, mara aunganishe namba yako ya simu na account yake ya benk...yaani ni vurugu kibaoMimi niliifutiaga usajiri kabisa
Toa pesa, kama hakuwahi kua selfish ktk safari yenuHabari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu
Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.
Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?View attachment 3114202
Hapana piga chini! Angekuwa ndugu yako sawa ila ni mtu baki sometimes usiwe na huruma ndugu. Piga block mngekuwa wema mngekuwa pamoja mpaka sahizi..Mfano ni mtu mmeachana vizuri bila kugombana na mmekuwa na mawasiliano ya hapa na pale kama family friends????
Mzingatie alfu unaendlea na mikausho yakoHabari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu
Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.
Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?View attachment 3114202
Itabidi niache hizi huruma, unakuta nimeshatuma hela alafu nabaki najiluamu kwa nini nimefanya hivyo wakat mtu sipo naye tena... Na je mfano akiwa ni mzazi mwenzio ambaye mmeachana???)Hapana piga chini! Angekuwa ndugu yako sawa ila ni mtu baki sometimes usiwe na huruma ndugu. Piga block mngekuwa wema mngekuwa pamoja mpaka sahizi..
Kuna bomu linakuja( naongelea kiroho) sasa wewe fikiria kwa akili za kibinadamu.
Mtu mkishaachana achana nae hata kama hamkua na ugomvi..! Kuachana maana yake hamjafiti kiroho.
Kwa mzazi mwenzio Tuma hela inayotosha matumizi ya mtoto wako.Kama ni ishu ya Ada usimtumie mama tuma moja kwa moja shule yaani uwe na mawasiliano na shule kujua maendeleo.Itabidi niache hizi huruma, unakuta nimeshatuma hela alafu nabaki najiluamu kwa nini nimefanya hivyo wakat mtu sipo naye tena... Na je mfano akiwa ni mzazi mwenzio ambaye mmeachana???)