EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Tulikuwa na ukaribu zamani ukasa ila anataka urudi Kwa Kasi

Ila Mimi na familia yake ni family friends haiwezi pita siku sijapigiwa simu na aither dada ake, mdogo wake au brother wake lazima
Ohooooooo!

Wacha mie nishike jembe nikalime

Mapenzi si ya kuingilia 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️

Cc Smart911
 
Hahahaha hii mimi imenikuta kaka kila baada ya miezi kadhaa anaomba sometimes nampa sometimes namkazia maana ameolewa na mimi nina wife.

Kitu kizuri kwangu sijawahi kukutana naye since 2014 tulipoachana. Niligundua anatafuta namna tu ya kuendeleza uhusiano maana aliwahi kumwambia jamaa yangu flani kama ameolewa kwasababu mi nilikuwa nachelewesha ndoa ila amegundua alikuwa ananikubali sana na still ananikubali.

Hapo kazi kwako upige au uachane naye ila mjali tu kama binadamu wengine.
Wanawake ni waongo sana mkuu usiamini anayosema
 
Msaidie tu ni hisani kama hisani zingine tu kuna leo na kesho
 
Naomba tuwasiliane inbox
 
Back
Top Bottom