Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooooooo!Tulikuwa na ukaribu zamani ukasa ila anataka urudi Kwa Kasi
Ila Mimi na familia yake ni family friends haiwezi pita siku sijapigiwa simu na aither dada ake, mdogo wake au brother wake lazima
Unabaki nayo ya kazi gani?Utaifuta?
Hahaha...
Wanawake ni waongo sana mkuu usiamini anayosemaHahahaha hii mimi imenikuta kaka kila baada ya miezi kadhaa anaomba sometimes nampa sometimes namkazia maana ameolewa na mimi nina wife.
Kitu kizuri kwangu sijawahi kukutana naye since 2014 tulipoachana. Niligundua anatafuta namna tu ya kuendeleza uhusiano maana aliwahi kumwambia jamaa yangu flani kama ameolewa kwasababu mi nilikuwa nachelewesha ndoa ila amegundua alikuwa ananikubali sana na still ananikubali.
Hapo kazi kwako upige au uachane naye ila mjali tu kama binadamu wengine.
🤣🤣🤣🤣 Ubarikiwe Sana mkuu