EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

😀😀😀😀 "niambie mtaalam" we jamaa kavu sana
 
Ukiona mwanamke haeleweki, unampa utaratibu wa namna mtaishi yeye anapanga utaratibu wake halafu anataka wewe usimamie show jua huyo hayupo timamu kichwani unadeal na mwendawazimu (sociopath).
 
Ma-ex ni kama marafiki wa siku zote tu, ukimkumbuka unapiga simu kumsalimia, Akiomba pesa si lazima umpe kiasi chote anachotaka, lakini kiasi lazima utampa. Japo nao wanatofautiana, kuna wale wagumu akikuomba pesa unajua kabisa huyu amefikwa! Unampa bila masharti.
 
Ukiona mwanamke haeleweki, unampa utaratibu wa namna mtaishi yeye anapanga utaratibu wake halafu anataka wewe usimamie show jua huyo hayupo timamu kichwani unadeal na mwendawazimu (sociopath).
Kwann umesema ivyo mkuu?
 
Ma-ex ni kama marafiki wa siku zote tu, ukimkumbuka unapiga simu kumsalimia, Akiomba pesa si lazima umpe kiasi chote anachotaka, lakini kiasi lazima utampa. Japo nao wanatofautiana, kuna wale wagumu akkuomba pesa unajua kabisa huyu amefikwa! Unampa bila masharti.
Umeongea vyema sana
 
Sipokeagi simu yake Kwa mda anaopiga Hadi nijisikie Kuna mda nilimbock kabisa alilamika mno Kwa mabrother kuwa Nina kinyongo nikaona sio case ngoja ni unblock
Block futa namba yake endelea na maisha yako. Mbona ni suala rahisi sana?!
 
Sio rahisi.... Kama watu mlipendana kweli narudia tena sio rahisi, kuna mmoja nilimblock whatsapp, calls na namba zake nikafuta...

Akanipigia kwa namba nyingine anauliza kwa nn nimemblock na cha ajabu ni kwamba hata ukimblock kuna muda roho inakutuma umuunblock.... Unakuwa unajiongopea wew binafsi.
 
Sure kikubwa distance
 
Block futa namba yake endelea na maisha yako. Mbona ni suala rahisi sana?!
Blocking someone in social media it's socialpath the best way is blocking in real life through distance
 
Sio rahisi.... Kama watu mlipendana kweli narudia tena sio rahisi, kuna mmoja nilimblock whatsapp, calls na namba zake nikafuta...

Akanipigia kwa namba nyingine anauliza kwa nn nimemblock na cha ajabu ni kwamba hata ukimblock kuna muda roho inakutuma umuunblock.... Unakuwa unajiongopea wew binafsi.
Niwie radhi kwa jawabu langu!

Wewe ni dhaifu!
 
Blocking someone in social media it's socialpath the best way is blocking in real life through distance
Kama ikiwa hamjazaa au hamfanyi kazi eneo moja au hamkai eneo moja, ikiwa kama unahitaji kumsahau mtu kiuhakika kabisa unachotakiwa ni kufuta kumbukumbu zote zinazomhusu yeye au zinazowahusu nyote wawili na kuepuka njia yoyote ya mawasiliano baina yako na yeye.

Ukishindwa kufanya hivyo, (sorry for using offensive words) wewe ni dhaifu. Huwezi ku move on! Bado unamhitaji.
 
Wala hata hisia nae sina
 
Achana naye fanya mambo yako asikushugulishe.
Huenda mahusiano yake uko sio mazuri just imagine mtu anakwambia nmeona kadi ya harusi bwana harusi ana jina kama lako nmeamua nikupigie sasa uyo mtu unamsikiliza tu they una ignore
 
Back
Top Bottom