Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
😀😀😀😀 "niambie mtaalam" we jamaa kavu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea vyema sanaMa-ex ni kama marafiki wa siku zote tu, ukimkumbuka unapiga simu kumsalimia, Akiomba pesa si lazima umpe kiasi chote anachotaka, lakini kiasi lazima utampa. Japo nao wanatofautiana, kuna wale wagumu akkuomba pesa unajua kabisa huyu amefikwa! Unampa bila masharti.
Block futa namba yake endelea na maisha yako. Mbona ni suala rahisi sana?!Sipokeagi simu yake Kwa mda anaopiga Hadi nijisikie Kuna mda nilimbock kabisa alilamika mno Kwa mabrother kuwa Nina kinyongo nikaona sio case ngoja ni unblock
Sio rahisi.... Kama watu mlipendana kweli narudia tena sio rahisi, kuna mmoja nilimblock whatsapp, calls na namba zake nikafuta...Block futa namba yake endelea na maisha yako. Mbona ni suala rahisi sana?!
Sure kikubwa distanceSio rahisi.... Kama watu mlipendana kweli narudia tena sio rahisi, kuna mmoja nilimblock whatsapp, calls na namba zake nikafuta...
Akanipigia kwa namba nyingine anauliza kwa nn nimemblock na cha ajabu ni kwamba hata ukimblock kuna muda roho inakutuma umuunblock.... Unakuwa unajiongopea wew binafsi.
Niwie radhi kwa jawabu langu!Sio rahisi.... Kama watu mlipendana kweli narudia tena sio rahisi, kuna mmoja nilimblock whatsapp, calls na namba zake nikafuta...
Akanipigia kwa namba nyingine anauliza kwa nn nimemblock na cha ajabu ni kwamba hata ukimblock kuna muda roho inakutuma umuunblock.... Unakuwa unajiongopea wew binafsi.
Kama ikiwa hamjazaa au hamfanyi kazi eneo moja au hamkai eneo moja, ikiwa kama unahitaji kumsahau mtu kiuhakika kabisa unachotakiwa ni kufuta kumbukumbu zote zinazomhusu yeye au zinazowahusu nyote wawili na kuepuka njia yoyote ya mawasiliano baina yako na yeye.Blocking someone in social media it's socialpath the best way is blocking in real life through distance
Wala hata hisia nae sinaKama ikiwa hamjazaa au hamfanyi kazi eneo moja au hamkai eneo moja, ikiwa kama unahitaji kumsahau mtu kiuhakika kabisa unachotakiwa ni kufuta kumbukumbu zote zinazomhusu yeye au zinazowahusu nyote wawili na kuepuka njia yoyote ya mawasiliano baina yako na yeye.
Ukishindwa kufanya hivyo, (sorry for using offensive words) wewe ni dhaifu. Huwezi ku move on! Bado unamhitaji.
Achana naye fanya mambo yako asikushugulishe.Wala hata hisia nae sina