EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

haijawashiwishi joyceline.
dawa ni kufanya maamuzi sahihi na si kushurutishwa cha kufanya.
kuna wengine itawachukua karne nyingi kuolewa au kuoa ndo maana zikatengenezwa kondoms ili kutumika endapo subira ikishindwa hamu.
 
Kutokana na maelezo yako Pretty inaonekana bado unampenda sana. Kama huyo jamaa anapata access ya kukung'ang'ania kama ruba atakuwa bado yupo moyoni mwako. naomba kukuuliza swali la kizushi kwani wewe umeolewa?
hapana bado sijaolewa, nipo tu.
 
Pretty,

Usiiidanganye nafsi yako, sawa mama?

Utamu wa ngoma ni lazima uingie ucheze, wewe ndiye unaeyajua mapigo uliyokuwa ukiyapata kutoka kwa jamaa, sawa?

Naendelea...

Siri ya mtungi aijuae...(malizia)

Mpe jamaa penzi kwani huwezi kulizuia kama kweli unampenda.
 
Mpe vitu....wewe......mwenyewe unajua kama bado unaitaka.....nendeni mkavinjari.
 
Mpe vitu....wewe......mwenyewe unajua kama bado unaitaka.....nendeni mkavinjari.

HUyo ndio mtanzania at his/her best, good in advising watu kwenda wrong direction.

This is wrong!!!!!!!!!
 
kuoa mwanaume ndio nn tena? Mie mwanamke siwezi oa mwanaume.

Siku hizi wanaume huolewa na wanawake kama hujui... hasa ukiwa mwanamwali mrembo unamaliza biashara mapema.
anyway umeshawahi kutembea ndani yandoa?
 
Mpe vitu....wewe......mwenyewe unajua kama bado unaitaka.....nendeni mkavinjari.

bab kubwa
ingekuwa haitaki angeshaamua bila kuomba msaada wa mawazo hapa
shida iliyopo ndani ya mjadala huu ni kwamba, watu hawajavaa viatu vya pretty ili kujua uhalisia wa mahusiano yao na boy wake. labda walianza muda gani mahusiano? ni nini kilichomfanya huyo shababi kuoa nje ya lengo na nje ya muda? pia pretty hakusema hapa kama kulikuwa na ahadi yoyote ya kufiúnga ndoa. ila anakuja kulalama kuwa anasumbuliwa ingawa anasema hamtaki ila akivutwa shati anakwenda....
we pretty wewe! nikikukamata!
 
sasa si bora huyo unayemjua kuliko vicheche wapya? mpe mambo ki pati taimu wakati ukivizia wako wa kudumu!

huo utakuwa ni ufuska.kwani watu wameisha ? mvumilivu,hula mbivu.acha ukware!
 
Pretty,
This is a very childish question. How many men have applied to you? Have you reported to people? why this guy? Don't spiral around, you are in love with him. We mpe huo mzigo kwani wako? hahahahahhaha be careful with AIDS.
 
Usimpe chochote atakuganda nakuambia wanaume wa hivyo huwajui wewe, halafu siku ukipata mwanaume wako wa kukuoa atakwambia unaolewa kwani unakosa nini kwangu? huyo atakupa nini wakati yeye an wa kwake nyumbani anamlinda kama mboni ya jicho. usimpe kitu
 
hapana bado sijaolewa, nipo tu.

Kwa hiyo unatuambia kuwa bado upo upo kwanza???

Mimi nadhani kilicho sababisha kuachana na EX-BF wako ndio kitu kitakachoweza kukusababisha umkubali au umkatalie hicho anachokitaka. Naamini kabisa kama bado unampenda iko siku atamwachia ajinafasi.
 
Siku hizi wanaume huolewa na wanawake kama hujui... hasa ukiwa mwanamwali mrembo unamaliza biashara mapema.
anyway umeshawahi kutembea ndani yandoa?
e bwan hili swali lako sijakupata.
 
Wapi masanillo,wapi Nyamayao wapi Brenda Jackobo mbona siwaoni?
 
Wapi masanillo,wapi Nyamayao wapi Brenda Jackobo mbona siwaoni?

Filel80!
Sema ndugu,nipo tu namsoma pretty hapa we unaonaje? amkubalie x'bf wake jamani? Mimi naona siyo fresh kabisa,amwache jamaa atunze ndoa yake kama muda wao wa kujivinjari ulishaisha.
 
Filel80!
Sema ndugu,nipo tu namsoma pretty hapa we unaonaje? amkubalie x'bf wake jamani? Mimi naona siyo fresh kabisa,amwache jamaa atunze ndoa yake kama muda wao wa kujivinjari ulishaisha.

Mi naona bora ale kona amwachie na mwenzie naye afaudu matnda labda yeye alikuwa mgumu kutoa tiGo ndo maana jamaa akaamua kuchukua mzigo mwingine.
 
Mi naona bora ale kona amwachie na mwenzie naye afaudu matnda labda yeye alikuwa mgumu kutoa tiGo ndo maana jamaa akaamua kuchukua mzigo mwingine.

mmh! linapofika suala la TG sikuwezi maana inawezekana ina uzito kwenye mapenzi tena siku hizi ila siyo lazima ufanye!
Well, amwachie mwenzie afaidi na wife tu! kwanini waliachana?labda sababu hiyo yako uliyotaja..
 
Back
Top Bottom