Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
kwanza mie mkristo,
-moyo wangu bado unamfeel japo kaoa.lakini sitoweza kulala naye.
-labda tubaki marafiki wazuri.
-kwa sasa bado sina mpenzi huwa natoka out na huyo ex b
- sina wazo bado la kuolewa.
Hayo ndio majibu ya maswali yako belindajacob
ngoja tufunge mjadala sasa tuanze mambo mapya. Baibo inasema ikimbie zinaa usikemee! Kitendo cha kuambatana na huyo x ni ushawishi tosha, hata mungu hapendi. Mnatiana hamasa na nyege tu na itafika siku mtajifanya hamkujua kilichotokea mkabanjuka (serious!) ushauri wangu kwako dada---have a change of scene, hukuzaliwa nae huyo na wanaume wapo, hujaamua tu. Mjadala umefungwa