Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
kwanza mie mkristo,
-moyo wangu bado unamfeel japo kaoa.lakini sitoweza kulala naye.
-labda tubaki marafiki wazuri.
-kwa sasa bado sina mpenzi huwa natoka out na huyo ex b
- sina wazo bado la kuolewa.
Hayo ndio majibu ya maswali yako belindajacob
Prety wewe ni wathamani sana, na unatakiwa uamue hatma ya maisha yako hakukupenda alikuona humfai kwenye maisha ndo mana akaamua kuoa, achana naye na umkatie mawasiliano tena akukome, anachotaka ni kukufanya wewe chombo cha starehe siku kwa mkewe kuna matatizo anakuja kwako ili akuharibie maisha tulia dada Mungu afanye kazi yake utampata wa thamani kama wewe na utatulia naye.
.Prety wewe ni wathamani sana, na unatakiwa uamue hatma ya maisha yako hakukupenda alikuona humfai kwenye maisha ndo mana akaamua kuoa, achana naye na umkatie mawasiliano tena akukome, anachotaka ni kukufanya wewe chombo cha starehe siku kwa mkewe kuna matatizo anakuja kwako ili akuharibie maisha tulia dada Mungu afanye kazi yake utampata wa thamani kama wewe na utatulia naye.
wana jf nisaidieni
mhh huyo achana naye,mapema.
Mie nawashukuru sana wanajamii forum kwa mchango wenu wa mawazo. Na hichi kisa ndio haswa kilichonifanya niingie humu. Maana nilikuwa tu nasoma baadhi ya matatizo ya watu na nikaona kuna baadhi ya watu humu wanaushauri mzuri, hivyo nikaona bora na mie hili tatizo niliweke humu ili nipate ushauri wa busara kutoka kwenu.
Ushauri wa busara nimeupata na nimeufanyia kazi. Hivyo nawashukuru sana.
ahahahaha...duuuu...ebwanaeheeee....joyceline unamdanganya mwenzio...hana thamani yoyote kwa msela yeye ni punching bag..au uwanja wa mazoezi...mie nakushauri dada yangu ..MPE MSHKAJI AJIONGEZEE MAUJUZI YA KU-MPERFORM WIFE WAKE...maana hakuna ki2 kigumu kama kumwomba tigo mkeo..au hata mmeo..sasa wewe NAONA MSHKAJI KAMA ANATAKA AJE APIGE TIZI NA KULA GOTI SANA TUU ...then anasepa...na KESHO ANARUDI ...na navyowajueni nyie kina MAMA MARIA..mlivyo na huruma UNAMPA TENAAA....na unakuwa ndo kamchezo kenu...nawasilisha maoni
Umeamua kuja kutangaza humu
Mbona wakat nakuaproch ukuja kuomba ushaur
Khaaa
Puuumbafu saakee....