Mpotezea, fanya harakati zingine............
cha msingi wewe Pretty inabidi utulie, ili nawe uje kumpata wa kwako.
Usiwaze sana ju ya mambo huwezi kuyacontrolhii mada inanishtua sana. Mnajua kwanini nimepata mchumba wa KINYAMWEZI sasa sijui na yeye atakuja kutakiwa na Ex-bf wake? haya mambo yananichanganya sana mimi hadi wengine tutaacha kuoa kama ishu zenyewe ndio za kutakana tena baadae.