Ex-gf wangu kanitia hasara tuu...!!

Ndio. Hata ungekua wewe ungelifanya hivo hivo..... Acha kujifanya much know.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Yalishawahi kunikuta hayo,,bora yako Mkuu ulikuwa unamahusiano Mengine,.

Me mwenzako nilikuwa single almost Kama miezi 2 cjaiona tundu coz niliumizwa Sana kiac kwanza nikawa nimepoteza hisia.

Sasa hormones zilipoanza kufanya kazi yake, zilifanya kazi Kweli Kweli kiac kwamba genye zilipanda Kwa kazi zaid ya serikali ya anko Magu.

Nikaona isiwe tabu Kuna ex wangu flan alikuwa ananisumbua Sana cku za nyuma akitaka turudiane nikawa namkatalia coz nilikuwa na mahusiano Mengine.

Nikamcall nikamwambia tuonane akakubali nikafanya yoote uliyoyafanya but nikaingia nae room na mzigo nikanyimwa coz alikuwa haniamini Kama nimerudi mazima kwake. Alihisi nataka kupasha kiporo then nisepe. Niliumia Sana mpaka Leo Sina Jami nae.
 
ULichokosesa engineer hapo ni kimoja, kumpeleka UDSM kula kuku. Ungempeleka PATAYA kulekule, then unamuomba uzuru Binamu yake, '' samahani nina mazungumzo na nduguyo kidogo'' then unampandisha ROOM.Hapo tatizo lilikuwa nini? Inawezekana hata huyo BInamu yake alikuwa anajua kuwa anamleta ndugu yake kuliwa. Wewe ukaleta ubwege.
Next time, usirudie kosa mwana.
 
Yan uo ndo muda napnaga wakaka wa ajabu m2 akikupgia cm tu bas we unawaza mgegedo muache uzuz
 
kwani shule mnafungua lini maana hiyo hela ulochanga ndo inaisha usije pewa hela ya ada ukala na yenyewe nakushauri mdogo wangu anza kufanya home work ukienda shule uwe fit
 
Dah..yaani hata hesabu ndogo tu inakushinda... 1+ 2 = +3...halafu unajiita injinia😎😎
 
Ilishawahi kunitokea hii nilikutana na x-gf mlimani city nikampakia kwenye gari hadi pale mtanzania sinza kwenye bar. Baada ya stori mbili tatu nikaenda hotelini kuchukuwa room ya 35k kuja kumuomba tuhamie juu akakataa kata kata nikaona isiwe shida ikabidi nimrihusu aondoke then nikabadili gia kwa muhudumu wa hotel. Walah mambo niliyopata kwa muhudumu siwezi kusahau. Kazi yangu ilikuwa kutegesha mashine tu nje ndani na miuno yote alikuwa anapiga yeye
 
Alafu unge force king tu una mtext oya nataka mambo inakuwaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alishindwa kujiongeza mapema,alitakiwa amtext palepale "oya mbona umekuja na wenzako tena na Mm nataka mzigoo,wapange wenzako tuchomokee chaap [emoji23]"lzm kingeeleweka
 
Mbona anakuwa Kama sio engineer bhana,suala dogo tuu anashindwa
 
Ningekua sijakua nisingeenda kununua condom, nisingelipia Lodge.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Na hapo ndipoo ulipoonyesha hujakuwa...kwenda kulipia lodge kabla ya kuonana na muhusika, kila wakati unawaza ngono, kakuweza sana na anakujua ndo mana amebeba mtu, sidhani kama anajisikia kufanya na wewe alitaka tu kukuona kukunywea kidogo, n.k.
 

Ngoja niunganishe dots, ndugu yangu huyu bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…