Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
-
- #101
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alishindwa kujiongeza mapema,alitakiwa amtext palepale "oya mbona umekuja na wenzako tena na Mm nataka mzigoo,wapange wenzako tuchomokee chaap [emoji23]"lzm kingeeleweka
Ulimtoa extra cash ama free of charge..... Mi nawaogopaga wahudumu nahisi wanataka pesa ndefu sana....
Halafu mie huwa nawahi kurusha wazungu, nisije kuaibika bureeee.. ikaw kashesheeee!!!
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Mbona anakuwa Kama sio engineer bhana,suala dogo tuu anashindwa
Na hapo ndipoo ulipoonyesha hujakuwa...kwenda kulipia lodge kabla ya kuonana na muhusika, kila wakati unawaza ngono, kakuweza sana na anakujua ndo mana amebeba mtu, sidhani kama anajisikia kufanya na wewe alitaka tu kukuona kukunywea kidogo, n.k.
We jamaaa salute!Unabandika maji ya ugali na unga hauna?Utakunywa maji ya moto?
Akipoteaga huwa ninamiss hivi vituko.Hahaha yani nimecheka hatari
mkuu ila mnakuwaga mafala mkiwa mnaomba mbunye , ha hahaha nacheka sababu huwa mnaongeaga kama mate yamejaa mdomoni ha ahahaha
ha hahaha poleni aiseeTunakuaga mafala??????
We unadhani bia, misosi, room zinapatikana bure... Hela imetumika.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Tena kumi kabsa, hadi mate yamenitoka ngoja nifunge ofisi nkapate hata 2 tu.bora hiyo 25,000 ungeninunulia bia ha hahaha
ha hahaha ile moment ya kuomba utamu mnachekeshaga mnakuwa wapole kweliMimi case yangu iko tofauti yani kama Mara mbili wanaingia ndani ila wanagoma kutoa utam kwa sababu hewa .. nakua nmekua hasara sana ila sasa hivi nmeamua kabla ya kuingia lodge tunaandikishiana ...nna hasira sana
acha tuTena kumi kabsa, hadi mate yamenitoka ngoja nifunge ofisi nkapate hata 2 tu.
Smh# engineer.
Ila bhana hii inamtokea kila mtu,Mm ilishawahi nitokea,nimetoka zangu porin nimetulia mahali napiga zangu castle lite mixer mzizi(campari),Nina ukame WA Kama two months,wakati huo tayari nimeshampanga dem wangu WA siku zote kuwa Leo naingia town jipange kwa mechi,huku na Huku nikiwa kwenye matumizi nikakutana na demu mmoja hivi tukabadilishana no,kilichotokea sasa nikaanza kuchart na alienipa no wakati huo dem wangu ameniambia chukua chumba kbs,nikatoka kwenda kulipia chumba Kama 25k,ukicheki muda ni saa nne kasoro,huyu demu mpya akawa Kama amenielewaelewa na Mm ikabid nikaze Kamba ili Kama vp nipite nae halafu Yule WA siku zote nnaweza nikamwambia nina udhuru najua angenielewa then nikajipie kitu n'gada,Aisee kilichotokea ss demu wangu ananitext njoo unichukue mbona unachelewaa,ikanibid nichukue gari nimfuate nikiwa njiani nikasema ngoja nimpigie huyu demu mpya kama vp kesho tutafutane,Matokeo si nikachanganya no badala huyu gashi tuliyobadilishana no nampigia demu wangu,maneno nnayozungumza babu Aibu,si ujaua tena na pombe juu,kilichonistua demu ananiuliza ww unaongea na nan then akakata sim,ikabidi nitoe sim sikioni niangalie na naongea nae duuuh!,nilichofanyA nilipaki gari pembeni nampigia sim Kwan anapokea,zaidi ya kunitumia sms "kalale na huyo uliyekuwa unaongea nae baasi"mwanaume nafanya nin saa tano kasoro,nikaona isiwe shida nampigia aliyeniponza hapokei sim utafikiri wanafahamiana labda wameambizana,nna nshapiga mzizi (campari) WA kutosha,kudadeki siku iliyofuata sikuamka ngiri ya hatari
Akipoteaga huwa ninamiss hivi vituko.
Nimefurahi kuona huyu ex wako anapata akili, huu ni mwanzo, next time wala hatakupigia simu na utashangaa kusikia anaolewa. Hii amekuonyesha kuwa kwake yeye you are done.Nikipotea ujue hayaja nipata ya kunipata... Lazima nirudi....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Nimefurahi kuona huyu ex wako anapata akili, huu ni mwanzo, next time wala hatakupigia simu na utashangaa kusikia anaolewa. Hii amekuonyesha kuwa kwake yeye you are done.
Stay there, jiulize kwanini amekuja na cousin wake, waliongea nini?Am done wapi.... Sasa kwanini amekuja kuniona kama I am done kwake.....
Dogo bado ana mahisia namie.... Sema sjui alimaanisha kuonana ni kuja kutazaman sura zetu tuu....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]