Ila bhana hii inamtokea kila mtu,Mm ilishawahi nitokea,nimetoka zangu porin nimetulia mahali napiga zangu castle lite mixer mzizi(campari),Nina ukame WA Kama two months,wakati huo tayari nimeshampanga dem wangu WA siku zote kuwa Leo naingia town jipange kwa mechi,huku na Huku nikiwa kwenye matumizi nikakutana na demu mmoja hivi tukabadilishana no,kilichotokea sasa nikaanza kuchart na alienipa no wakati huo dem wangu ameniambia chukua chumba kbs,nikatoka kwenda kulipia chumba Kama 25k,ukicheki muda ni saa nne kasoro,huyu demu mpya akawa Kama amenielewaelewa na Mm ikabid nikaze Kamba ili Kama vp nipite nae halafu Yule WA siku zote nnaweza nikamwambia nina udhuru najua angenielewa then nikajipie kitu n'gada,Aisee kilichotokea ss demu wangu ananitext njoo unichukue mbona unachelewaa,ikanibid nichukue gari nimfuate nikiwa njiani nikasema ngoja nimpigie huyu demu mpya kama vp kesho tutafutane,Matokeo si nikachanganya no badala huyu gashi tuliyobadilishana no nampigia demu wangu,maneno nnayozungumza babu Aibu,si ujaua tena na pombe juu,kilichonistua demu ananiuliza ww unaongea na nan then akakata sim,ikabidi nitoe sim sikioni niangalie na naongea nae duuuh!,nilichofanyA nilipaki gari pembeni nampigia sim Kwan anapokea,zaidi ya kunitumia sms "kalale na huyo uliyekuwa unaongea nae baasi"mwanaume nafanya nin saa tano kasoro,nikaona isiwe shida nampigia aliyeniponza hapokei sim utafikiri wanafahamiana labda wameambizana,nna nshapiga mzizi (campari) WA kutosha,kudadeki siku iliyofuata sikuamka ngiri ya hatari