Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kwa hisia SanaWanawake baadhi yetu tungekuwa na uwezo wa kujiongeza ingetusaidia Sana Kutopoteza MuDa.
Acha uongo mpumbavu wwHawezi kutoka nduki. Niliwahi hadi kumwambia kuwa nina UKIMWI, lakini akasema ananipenda hivyo hivyo.
Nasapoti hii, kwa kweli vya bure havina faida mjini hii.Itafika time tuanze kutoza ushuru, ushauri wa bure hauwasaidii.
Yaaani Muda unaenda hujiongezi...unang'ang'ania usipotakiwaUmeongea kwa hisia Sana
We endelea tu kuzungusha sahani kama sie wenzako....achana naye huyo Aunt Ezekiel...atakuja mwingine kumpiga pumbu na kumwachia mtotoTuliachana kwa sababu zenye mashiko.
Ila haishi kutuma text za kunijulia hali, Mara ohhh nimemiss ile sehemu tulipokuwa tuna kunywa vinywaji, mara aanze kunitumia text kuhusu rafiki zake ambao niliokuwa nikiwafahamu pia. Majuzi kanilipia kadi ya harusi ya mmoja wa ndugu zake ety anataka nikahudhurie pia.
Muda mwingi hutuma ujumbe lakini sio kwa njia ya kusumbua, hata hivyo anaendelea kutuletea "sisi". Nimemwambia mara kadhaa sitaki kurudiana. Anakubali kwa muda lakini anarudi kuniambia vitu kama bado ananipenda. Sijui nini cha kufanya katika hatua hii. Nimejaribu "kuwapo kwa ajili yake" kwa sababu alihamia jiji langu hivi karibuni na hana marafiki wa karibu kwa sababu ya ugeni wake. Nadhani chaguo langu jingine tu ni kumpuuza kabisa, ambayo nadhani ni kali ukizingatia ilikuwa mgawanyiko ulioonekana kupendeza.
Natamani nimuweke wazi kuwa mimi ni "mzungusha sahani"na pia siwezi kurudi pale nilipoona hapafai. Ila naona kama ikumuumiza sana ukizingatia ni Ka'innocent fulani hivi.
Je! Nyinyi mna maoni gani?
Mzungusha sahani = A man who cant committ to a single woman
Zinaa inaondoka na wengiYaaani Muda unaenda hujiongezi...unang'ang'ania usipotakiwa
Unafanywa na kufanywa.....nakufanywa Tena..kumbe LOOOH Hasara tupu...
Zinaaa Ni mbaya Jamani...Hususani kwa WANAWAKE...But hatusikii.
KWELI Mwanamke kiumbe dhaifu..
We SI unazipata kwa manati... Yeye kwake anazo bwerere..hiyo ya Ex...haiitajiUnasusia k mkuu?
.ajabu la 8 la dunia hili.
SawaWe SI unazipata kwa manati... Yeye kwake anazo bwerere..hiyo ya Ex...haiitaji
Tuma namba tusaidiane majukumuTuliachana kwa sababu zenye mashiko.
Ila haishi kutuma text za kunijulia hali, Mara ohhh nimemiss ile sehemu tulipokuwa tuna kunywa vinywaji, mara aanze kunitumia text kuhusu rafiki zake ambao niliokuwa nikiwafahamu pia. Majuzi kanilipia kadi ya harusi ya mmoja wa ndugu zake ety anataka nikahudhurie pia.
Muda mwingi hutuma ujumbe lakini sio kwa njia ya kusumbua, hata hivyo anaendelea kutuletea "sisi". Nimemwambia mara kadhaa sitaki kurudiana. Anakubali kwa muda lakini anarudi kuniambia vitu kama bado ananipenda. Sijui nini cha kufanya katika hatua hii. Nimejaribu "kuwapo kwa ajili yake" kwa sababu alihamia jiji langu hivi karibuni na hana marafiki wa karibu kwa sababu ya ugeni wake. Nadhani chaguo langu jingine tu ni kumpuuza kabisa, ambayo nadhani ni kali ukizingatia ilikuwa mgawanyiko ulioonekana kupendeza.
Natamani nimuweke wazi kuwa mimi ni "mzungusha sahani"na pia siwezi kurudi pale nilipoona hapafai. Ila naona kama ikumuumiza sana ukizingatia ni Ka'innocent fulani hivi.
Je! Nyinyi mna maoni gani?
Mzungusha sahani = A man who cant committ to a single woman
"Spin plates for as long as possible, because once you do commit to an LTR, even with the tightest of Game you will lose a measure of the competitive anxiety that made your attentions valuable to any one woman." - Book 1, RMHao ni hatari kwa afya yako so chagua kubaki na mmoja ambaye unaona ni bora zaidi kwako kwamaana ukisema uanze kuwafikiria utaumia mfano huyo anayetaka mrudiane na hujui huko alikua na nani na kakumbana na nini kwahyo mkwepe
Sio kuwa anafanya system overhaulAnajaribu kufanya kampeni alichukue jimbo kwa Mara nyingine.. Hiyo kitaalamu wanaiita system update
OK thus well but choice is the way of removing anxiety"Spin plates for as long as possible, because once you do commit to an LTR, even with the tightest of Game you will lose a measure of the competitive anxiety that made your attentions valuable to any one woman." - Book 1, RM
Mwenzio kaona thamani baad ya kukosea heshim msamah bhnTuliachana kwa sababu zenye mashiko.