Ex Girlfriend kaniganda

Ex Girlfriend kaniganda

Wanawake baadhi yetu tungekuwa na uwezo wa kujiongeza ingetusaidia Sana Kutopoteza MuDa.
 
Umeongea kwa hisia Sana
Yaaani Muda unaenda hujiongezi...unang'ang'ania usipotakiwa
Unafanywa na kufanywa.....nakufanywa Tena..kumbe LOOOH Hasara tupu...

Zinaaa Ni mbaya Jamani...Hususani kwa WANAWAKE...But hatusikii.

KWELI Mwanamke kiumbe dhaifu..
 
Tuliachana kwa sababu zenye mashiko.

Ila haishi kutuma text za kunijulia hali, Mara ohhh nimemiss ile sehemu tulipokuwa tuna kunywa vinywaji, mara aanze kunitumia text kuhusu rafiki zake ambao niliokuwa nikiwafahamu pia. Majuzi kanilipia kadi ya harusi ya mmoja wa ndugu zake ety anataka nikahudhurie pia.

Muda mwingi hutuma ujumbe lakini sio kwa njia ya kusumbua, hata hivyo anaendelea kutuletea "sisi". Nimemwambia mara kadhaa sitaki kurudiana. Anakubali kwa muda lakini anarudi kuniambia vitu kama bado ananipenda. Sijui nini cha kufanya katika hatua hii. Nimejaribu "kuwapo kwa ajili yake" kwa sababu alihamia jiji langu hivi karibuni na hana marafiki wa karibu kwa sababu ya ugeni wake. Nadhani chaguo langu jingine tu ni kumpuuza kabisa, ambayo nadhani ni kali ukizingatia ilikuwa mgawanyiko ulioonekana kupendeza.

Natamani nimuweke wazi kuwa mimi ni "mzungusha sahani"na pia siwezi kurudi pale nilipoona hapafai. Ila naona kama ikumuumiza sana ukizingatia ni Ka'innocent fulani hivi.

Je! Nyinyi mna maoni gani?

Mzungusha sahani = A man who cant committ to a single woman
We endelea tu kuzungusha sahani kama sie wenzako....achana naye huyo Aunt Ezekiel...atakuja mwingine kumpiga pumbu na kumwachia mtoto
 
Yaaani Muda unaenda hujiongezi...unang'ang'ania usipotakiwa
Unafanywa na kufanywa.....nakufanywa Tena..kumbe LOOOH Hasara tupu...

Zinaaa Ni mbaya Jamani...Hususani kwa WANAWAKE...But hatusikii.

KWELI Mwanamke kiumbe dhaifu..
Zinaa inaondoka na wengi
Kuikwepa ni ngum pia
Tufanyeje?
Wacha tuendelee kuupata utamu ...uchungu bdae
 
Tuliachana kwa sababu zenye mashiko.

Ila haishi kutuma text za kunijulia hali, Mara ohhh nimemiss ile sehemu tulipokuwa tuna kunywa vinywaji, mara aanze kunitumia text kuhusu rafiki zake ambao niliokuwa nikiwafahamu pia. Majuzi kanilipia kadi ya harusi ya mmoja wa ndugu zake ety anataka nikahudhurie pia.

Muda mwingi hutuma ujumbe lakini sio kwa njia ya kusumbua, hata hivyo anaendelea kutuletea "sisi". Nimemwambia mara kadhaa sitaki kurudiana. Anakubali kwa muda lakini anarudi kuniambia vitu kama bado ananipenda. Sijui nini cha kufanya katika hatua hii. Nimejaribu "kuwapo kwa ajili yake" kwa sababu alihamia jiji langu hivi karibuni na hana marafiki wa karibu kwa sababu ya ugeni wake. Nadhani chaguo langu jingine tu ni kumpuuza kabisa, ambayo nadhani ni kali ukizingatia ilikuwa mgawanyiko ulioonekana kupendeza.

Natamani nimuweke wazi kuwa mimi ni "mzungusha sahani"na pia siwezi kurudi pale nilipoona hapafai. Ila naona kama ikumuumiza sana ukizingatia ni Ka'innocent fulani hivi.

Je! Nyinyi mna maoni gani?

Mzungusha sahani = A man who cant committ to a single woman
Tuma namba tusaidiane majukumu
 
Hao ni hatari kwa afya yako so chagua kubaki na mmoja ambaye unaona ni bora zaidi kwako kwamaana ukisema uanze kuwafikiria utaumia mfano huyo anayetaka mrudiane na hujui huko alikua na nani na kakumbana na nini kwahyo mkwepe
"Spin plates for as long as possible, because once you do commit to an LTR, even with the tightest of Game you will lose a measure of the competitive anxiety that made your attentions valuable to any one woman." - Book 1, RM
 
Ameangukia kwa mwanamke mwenye gubu?
255788363637_status_3db06ab39ce34996a4242f528e7a20c7.jpeg
 
"Spin plates for as long as possible, because once you do commit to an LTR, even with the tightest of Game you will lose a measure of the competitive anxiety that made your attentions valuable to any one woman." - Book 1, RM
OK thus well but choice is the way of removing anxiety
 
Tuliachana kwa sababu zenye mashiko.

Ila haishi kutuma text za kunijulia hali, Mara ohhh nimemiss ile sehemu tulipokuwa tuna kunywa vinywaji, mara aanze kunitumia text kuhusu rafiki zake ambao niliokuwa nikiwafahamu pia. Majuzi kanilipia kadi ya harusi ya mmoja wa ndugu zake ety anataka nikahudhurie pia.

Muda mwingi hutuma ujumbe lakini sio kwa njia ya kusumbua, hata hivyo anaendelea kutuletea "sisi". Nimemwambia mara kadhaa sitaki kurudiana. Anakubali kwa muda lakini anarudi kuniambia vitu kama bado ananipenda. Sijui nini cha kufanya katika hatua hii. Nimejaribu "kuwapo kwa ajili yake" kwa sababu alihamia jiji langu hivi karibuni na hana marafiki wa karibu kwa sababu ya ugeni wake. Nadhani chaguo langu jingine tu ni kumpuuza kabisa, ambayo nadhani ni kali ukizingatia ilikuwa mgawanyiko ulioonekana kupendeza.

Natamani nimuweke wazi kuwa mimi ni "mzungusha sahani"na pia siwezi kurudi pale nilipoona hapafai. Ila naona kama ikumuumiza sana ukizingatia ni Ka'innocent fulani hivi.

Je! Nyinyi mna maoni gani?

Mzungusha sahani = A man who cant committ to a single woman
Mwenzio kaona thamani baad ya kukosea heshim msamah bhn
 
Kama "amekuganda" basi "mbandue". Simple solution !
 
Back
Top Bottom