Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

It depend mmeachana kwa sababu gani

He is my husband...and having 3 kids with him[emoji38]
Sioni tukiachana..his love for me is un explainable

Angerud ningekataa ingekula kwangu...sijqkutana na wa kunipenda km yeye...wengi matapeli na watumiaji
I feel you mama

Enjoy!
 
Kumrudia ex ni kuonyesha udhaifu na aliyemrudia mwenzake anadharaulika hakuna heshima kama awali mimi kwenye hilo nimeshindwa kuna ex mmoja ni mchaga kila akinipa ahadi na mkwepa anataka nimle kimasihara akirudi kuhesabiwa na ana mume wake kazalishwa watoto wawili ila mimi sirudii matapishi kwanza mke wa mtu sumu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Safi mkuu
 
Kapeace mambo sweetheart?

Natumai uko powa kabisa, kama mimi.

Umepata wasaa kutupa kisa chako? Coz I’m dying for it!
 
Ila Kapeace mama kuna experience ulisema ungetusimulia
B56CF5C8-DE82-4F77-A801-504BC09A36B2.jpeg
82DEA0A3-7048-415F-BD29-A4E1E0648F92.jpeg
53CB785E-8527-488E-92CC-07FE8631E1C4.jpeg
 
Mimi aliniacha kwa sababu zake za kutaka sana ndoa na mimi siko tayari, iliniuma sana kusikia naachwa, nikakausha, nikasubiri kidogo mda ukaenda kama 3months hivi, nikamrudia kwa machozi na damu, akakubali....dadeq hakuna kitu kibaya kama kumrudia ex, she doesn't taste the same anymore, nikabwagaaaaa...nae akalia kidogo!
 
Najua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.

Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire watu wengi sana hata bila ninyi kujua

Binafsi nimepitia mahusiano mengi ila kati ya yote sikuwahi kumrudia Ex in a serious way, yupo mmoja tu ambaye ni kama tupo kwenye Open relationship

Nimeona comments za watu humu ndani wakisema kuwa “Ex harudiwi” nimeona hili sio mara moja wala mara mbili ila ni mara nyingi

Currently hali yangu ya kimahusiano ina utata kwa maana kuna ex angu mmoja ninatamani sana kuwa nae milele na hii ni kutokana na kwamba nimepima nimeona yeye anafaa japo ana mapungufu yake kama mimi tu nimeona nitaweza vumilia

Sasa basi lengo la uzi huu ni kupata maoni yenu ama ushuhuda kwamba ilikuaje ulipomrudia ex wako??
Penzi lilifana au ulipoteza muda??

Ushuhuda huo pamoja na vigezo vingine nitavitumia kufanya maamuzi Muhimu sana ktk maisha

Karibuni sana waungwana uwanja ni wenu

View attachment 2490414
Nimefuta Kila kitu. Nadeal na ingizo jipya Tu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa akiileta mwenyewe, kwa madai toka tuachane hajakutana na zile kubum kubam.. Nami sina hiyana, sijui kujivunga, nikawa naitwanga tu.
 
Mimi aliniacha kwa sababu zake za kutaka sana ndoa na mimi siko tayari, iliniuma sana kusikia naachwa, nikakausha, nikasubiri kidogo mda ukaenda kama 3months hivi, nikamrudia kwa machozi na damu, akakubali....dadeq hakuna kitu kibaya kama kumrudia ex, she doesn't taste the same anymore, nikabwagaaaaa...nae akalia kidogo!
Doh

Somo hili
 
Sijaelewa yaani uliachana na mumeo mliezaa nae watoto 3 kisha mkarudiana tena?
Tuliachana wkt tuna date...
tena ni sababu tu za uchonganishi.....lkn sikuwah ona upendo wake ukipungua since then.na hakuwah kuacha kunipenda..
Akafight kurudi nikakubali
...hakupoteza muda akatangaza ndoa[emoji3059]...
 
Back
Top Bottom