Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Watu wanaondoka na marange wewe unawaza zako mkanda wa vipepeoYule mbwa happy afie mbali, nilimnunulia mkanda wa kipepeo wa kuvalia gauni lake na viatu vyeupe bado akatoroka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaondoka na marange wewe unawaza zako mkanda wa vipepeoYule mbwa happy afie mbali, nilimnunulia mkanda wa kipepeo wa kuvalia gauni lake na viatu vyeupe bado akatoroka
Amekuoa?au unaishi nae tu?Sasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.
I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.
Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.
Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.
After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]
September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]
Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
Unadanganya wenzio sio😜🤸🤸🤸?Hivi kwani ni lazima wote tuoe ,achana na ndoa acha mahusiano fanya vitu vya msingi
Kwa hiyo unatushaurije?Tuliachana tukiwa na mtoto 1 but now tupo vizuri baada ya kurudiana na tuna ndoa na watoto watatu, makosa tuliapa kuwa hatutorudia na ni kweli we are in fire [emoji91] of love [emoji7] not love fire [emoji91] get me.... Ex mtamu haswa ukimrudia
Sijaelewa yaani uliachana na mumeo mliezaa nae watoto 3 kisha mkarudiana tena?It depend mmeachana kwa sababu gani
He is my husband...and having 3 kids with him[emoji38]
Sioni tukiachana..his love for me is un explainable
Angerud ningekataa ingekula kwangu...sijqkutana na wa kunipenda km yeye...wengi matapeli na watumiaji
Mwandiko wako naujua anyway.Kwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.
mm najuta kuna demu nilimpendaga sana uko dar nakuambia alikua bonge la pisi mauno kama yote kakaniacha kakaolewa bas mwez wa 12 nkaenda dar kwa bahati nzuri kalikuawa kameachwa tayar na huyo bwana wake basi ikabid nikumbushie enzi lakn nkamwmbia siuuz mech akakataa sana et kwann simuamin kdume nkaweka msimamo bas tukaanza kuchwi kuchwi dah nlijua K inanuka balaa nikajisemea kmoyomoyo ndo alitaka nipge dry huyo, bas nkapga kamoja tu kanguruwe nikalala si nayeye akanfata kweny shuka tujifuke wote nkwmbie sku lala K inanuka sjapata kuona nlikaa gest sku 4 lakn nlikula mzgo siku moja tuEx ni sawa na bomu ukirudia basi ni zombie unalolitafu
mm najuta kuna demu nilimpendaga sana uko dar nakuambia alikua bonge la pisi mauno kama yote kakaniacha kakaolewa bas mwez wa 12 nkaenda dar kwa bahati nzuri kalikuawa kameachwa tayar na huyo bwana wake basi ikabid nikumbushie enzi lakn nkamwmbia siuuz mech akakataa sana et kwann simuamin kdume nkaweka msimamo bas tukaanza kuchwi kuchwi dah nlijua K inanuka balaa nikajisemea kmoyomoyo ndo alitaka nipge dry huyo, bas nkapga kamoja tu kanguruwe nikalala si nayeye akanfata kweny shuka tujifuke wote nkwmbie sku lala K inanuka sjapata kuona nlikaa gest sku 4 lakn nlikula mzgo siku moja tuUnadanganya wenzio sio😜🤸🤸🤸?
mm najuta kuna demu nilimpendaga sana uko dar nakuambia alikua bonge la pisi mauno kama yote kakaniacha kakaolewa bas mwez wa 12 nkaenda dar kwa bahati nzuri kalikuawa kameachwa tayar na huyo bwana wake basi ikabid nikumbushie enzi lakn nkamwmbia siuuz mech akakataa sana et kwann simuamin kdume nkaweka msimamo bas tukaanza kuchwi kuchwi dah nlijua K inanuka balaa nikajisemea kmoyomoyo ndo alitaka nipge dry huyo, bas nkapga kamoja tu kanguruwe nikalala si nayeye akanfata kweny shuka tujifuke wote nkwmbie sku lala K inanuka sjapata kuona nlikaa gest sku 4 lakn nlikula mzgo siku moja tuSijaelewa yaani uliachana na mumeo mliezaa nae watoto 3 kisha mkarudiana tena?
Nimecheka kwa sauti[emoji23]Nilirudiana na x wangu akaniibia vitu vyote vya ndani ulaaniwe huko uliko na mkomwe wako kama Solar za mobisol
Missing you sana yaniDah nilimpiga tukio anaogopa hata kuoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Dear ex utakufa single mi na enjoy huku
Hongera jamaniSasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.
I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.
Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.
Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.
After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]
September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]
Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
It depend mmeachana kwa sababu gani
He is my husband...and having 3 kids with him[emoji38]
Sioni tukiachana..his love for me is un explainable
Angerud ningekataa ingekula kwangu...sijqkutana na wa kunipenda km yeye...wengi matapeli na watumiaji
Amekuoa?au unaishi nae tu?
Jamaa ako hapo kitandani kalala na malaya mbwa tu.
Vinjari mkuuTuliachana tukiwa na mtoto 1 but now tupo vizuri baada ya kurudiana na tuna ndoa na watoto watatu, makosa tuliapa kuwa hatutorudia na ni kweli we are in fire [emoji91] of love [emoji7] not love fire [emoji91] get me.... Ex mtamu haswa ukimrudia