Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Kwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.
Umesema ukweli kabisa yaan ndio maana nafikilia nikukute hapo beach unafanya mazoezi na mimi uniokoe kwa kweli,
 
Sasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.

I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.

Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.

Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.


After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]

September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]

Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
Safi, sasa usizingue tena ukizingua tunakuvunja kiuno!!
 
Kama ulikuwnae kwe seriously relationship love haito work

Mimi yamenikuta mwaka jana , kitachotokea after one month mmoja atakuw kama anavuta Gari bovu mlimani.


Kwangu ndivyo ilivyokuwa
 
Hivi kwani ni lazima wote tuoe ,achana na ndoa acha mahusiano fanya vitu vya msingi
Mkuu achana na upepo wa kukataa kuoa

Ndoa ni kitu asili kuikwepa ni kupoteza muda tu sooner or later you will need it

It gets pretty lonely when you become senior citizen, nami siko tayari kuishi mpweke
 
Lakini nimegundua ana stress za maishaa, bado hajafanikiwa kama mwanaume... So yeye alijua nitamnyenyekea kama zamani...
Doh pole yake, ila kama ana moyo mzuri na mipango thabiti ya maisha consider giving him a second chance mkuu
 
Kama ulikuwnae kwe seriously relationship love haito work

Mimi yamenikuta mwaka jana , kitachotokea after one month mmoja atakuw kama anavuta Gari bovu mlimani.


Kwangu ndivyo ilivyokuwa
Dah pole mkuu

Nini hasa kilitokea? Alifanyaje
 
Inaonekana ulimpenda sana huyu mwamba, kosa lilikuwa ni kukubali mrudiane na wakati alikuacha kwa dharau

Ila ulipata uzoefu nafikiri hata ikitokea siku andunje anazingua hautarudia kosa.

A bitter experience makes us a better person
A bitter experience makes us a better person,, nimependa sana hili neno nje ya mada

Nilipitia nyakati ngumu sana wakati fulani hivi,, basi kwa uchungu na maumivu yale yamenifanya leo kuwa bora zaidi,
 
Write your reply...Kurudiana na ex hutegemea Mambo kadha wa kadha.

Kwanza kabisa Ni mliachana namna gani( kwa vurugu ama kwa amani) na Ni Nini haswa kilichosababisha mkaachana.

Ili mi sionagi Kama Ni busara Kurudiana na mtu ambaye tayari mlishazinguana mkaachana.It sounds very pathetic.
 
It was a bad idea kurudiana na yule msichana. At first sikujua hili na mambo yalienda vizuri hadi nikapanga kwenda kujitambulisha.

Kumbe hakua amebadilika. Kilichofuata ni stress juu ya stress. I am a man but I admit yes iliniumiza but finally nikahandle vizuri

Nilipata funzo kubwa sana from that incident na ni mwaka sasa maisha yangu yamebadilika sana.

Dina, thank you, ulizingua but umesaidia sana kunibadilisha.
 
Back
Top Bottom