stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Umesema ukweli kabisa yaan ndio maana nafikilia nikukute hapo beach unafanya mazoezi na mimi uniokoe kwa kweli,Kwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.