Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kabisa mkuu!Unacho andika una maanisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu!Unacho andika una maanisha?
Ni kweli mwisho wa yote sifa ni kwa MUNGU ila na ss si tuna nafasi yetu katika kuchagua?changamoto za kimaisha,kazi masomo zinaweza mtoa mtoto wa kike nyumbani hakuna kipya hapo tabia ya mtu ni tabia yake tu we kama umepata aliye tulia shukuru mungu basi
Kataa ndoa ni KWA waliotokea kwenye usingle mamaSio mda kuna jamaa atasema...
USIOE
KATAA NDOA
Kama mliachana KWA ubayaEx ni sawa na bomu ukirudia basi ni zombie unalolitafuta.
Vyema.Kabisa mkuu!
Nimeioenda hiyo video
Siku wakiitwa wanaume malofa mbele mbebe huyo mmeo msindikize kwa vigelegele huku mkisonga mbele ....maana sio kwa uzoba huoSasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.
I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.
Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.
Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.
After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]
September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]
Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We vuta chombo kipya mtoto namba E achana na hizo carina namba A
Thank you sweetheart
Kwahiyo ni lazima niangalie sababu za kuachana in the first place kama bado anaziendeleza nimpe goodbye moja ya hatari
Thank u
Hii nayo muhimu mkuu naibebaJiangalie pia na wewe umebadilikaje, maana nyakati zinatubadilisha watu, anaweza akaja ukamdhania ni yuleyule au unaweza ukajidhania ni wewe yuleyule kumbe sio, mkashindwa ku fit.
Mnakuja PM kuna kikaoTusio na Ex tuna comment wapiiiii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Very inspiringSasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.
I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.
Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.
Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.
After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]
September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]
Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
AseeeNilikubali kurudiana naye tulipo fika sita kwa sita kumpelekea moto ni full kunijambia nikajua walimtindua nyuma basi nikatafuta sababu mshenzi ya kumtema.[emoji16]
Siku kaja kwangu kapasua glasi yangu bahati mbaya nikasema hunifai uko careless sana [emoji848]
Sasa hivi mimi ni kaka yake naye ni dada yangu wa hiyari .