Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

changamoto za kimaisha,kazi masomo zinaweza mtoa mtoto wa kike nyumbani hakuna kipya hapo tabia ya mtu ni tabia yake tu we kama umepata aliye tulia shukuru mungu basi
Ni kweli mwisho wa yote sifa ni kwa MUNGU ila na ss si tuna nafasi yetu katika kuchagua?
Mm sijasema umchukulie nyumbani kwao. Nimesema utazame nia yake ya kutii mamlaka. Binti akiwa masomoni bado yupo kwao. In short kabla hajaolewa bado yupo kwao. Binti Kuishi na mwanaume ukiwa kwenu ni kuwatemea wazazi wako MAKOHOZI na inawezekana Mume wake atamtemea tu maana hana hofu ya maadili.
 
Sasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.

I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.

Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.

Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.

After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]

September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]

Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
Siku wakiitwa wanaume malofa mbele mbebe huyo mmeo msindikize kwa vigelegele huku mkisonga mbele ....maana sio kwa uzoba huo
 
Thank you sweetheart
Kwahiyo ni lazima niangalie sababu za kuachana in the first place kama bado anaziendeleza nimpe goodbye moja ya hatari

Thank u

Jiangalie pia na wewe umebadilikaje, maana nyakati zinatubadilisha watu, anaweza akaja ukamdhania ni yuleyule au unaweza ukajidhania ni wewe yuleyule kumbe sio, mkashindwa ku fit.
 
Ex kama huna malengo nae usimrudie,Me nakula mara moja sirudii,Nawatongoza nachukuwa namba nakausha siku nikitaji kuchepuka naangalia list nianze na nani
 
Sasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.

I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.

Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.

Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.

After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]

September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]

Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
Very inspiring
 
Nilikubali kurudiana naye tulipo fika sita kwa sita kumpelekea moto ni full kunijambia nikajua walimtindua nyuma basi nikatafuta sababu mshenzi ya kumtema.[emoji16]

Siku kaja kwangu kapasua glasi yangu bahati mbaya nikasema hunifai uko careless sana [emoji848]

Sasa hivi mimi ni kaka yake naye ni dada yangu wa hiyari .
Aseee
 
Me juzi nimekutana na EX wangu tukapeana namba vizuri tu, Usiku kapiga sasa simu sikuisikia nililala, asubuhi nakuta sms "Saizi ushapata mtu wa kuku**mba vizuri huna haja tena na mm" nikasema kimoyomoyo https://jamii.app/JFUserGuide youuuu !!!!

Nikajuta sana kumpa namba yangu.....
Alafu mtu wa hivi nirudiane naye????????
 
It's up to you kama unaona ana-deserve it's okay....binafsi kwa upande wangu sirudiagi ma-ex hata kama anastahili,,,nimeshajiwekea iyo code.
 
Back
Top Bottom