Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Sasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.

I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.

Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.

Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.

After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]

September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]

Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
Amekuoa?au unaishi nae tu?
 
Tuliachana tukiwa na mtoto 1 but now tupo vizuri baada ya kurudiana na tuna ndoa na watoto watatu, makosa tuliapa kuwa hatutorudia na ni kweli we are in fire [emoji91] of love [emoji7] not love fire [emoji91] get me.... Ex mtamu haswa ukimrudia
Kwa hiyo unatushaurije?
 
It depend mmeachana kwa sababu gani

He is my husband...and having 3 kids with him[emoji38]
Sioni tukiachana..his love for me is un explainable

Angerud ningekataa ingekula kwangu...sijqkutana na wa kunipenda km yeye...wengi matapeli na watumiaji
 
Sijaelewa yaani uliachana na mumeo mliezaa nae watoto 3 kisha mkarudiana tena?
 
Kwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.
Mwandiko wako naujua anyway.
 
Ex ni sawa na bomu ukirudia basi ni zombie unalolitafu
mm najuta kuna demu nilimpendaga sana uko dar nakuambia alikua bonge la pisi mauno kama yote kakaniacha kakaolewa bas mwez wa 12 nkaenda dar kwa bahati nzuri kalikuawa kameachwa tayar na huyo bwana wake basi ikabid nikumbushie enzi lakn nkamwmbia siuuz mech akakataa sana et kwann simuamin kdume nkaweka msimamo bas tukaanza kuchwi kuchwi dah nlijua K inanuka balaa nikajisemea kmoyomoyo ndo alitaka nipge dry huyo, bas nkapga kamoja tu kanguruwe nikalala si nayeye akanfata kweny shuka tujifuke wote nkwmbie sku lala K inanuka sjapata kuona nlikaa gest sku 4 lakn nlikula mzgo siku moja tu
 
Unadanganya wenzio sio😜🤸🤸🤸?
mm najuta kuna demu nilimpendaga sana uko dar nakuambia alikua bonge la pisi mauno kama yote kakaniacha kakaolewa bas mwez wa 12 nkaenda dar kwa bahati nzuri kalikuawa kameachwa tayar na huyo bwana wake basi ikabid nikumbushie enzi lakn nkamwmbia siuuz mech akakataa sana et kwann simuamin kdume nkaweka msimamo bas tukaanza kuchwi kuchwi dah nlijua K inanuka balaa nikajisemea kmoyomoyo ndo alitaka nipge dry huyo, bas nkapga kamoja tu kanguruwe nikalala si nayeye akanfata kweny shuka tujifuke wote nkwmbie sku lala K inanuka sjapata kuona nlikaa gest sku 4 lakn nlikula mzgo siku moja tu
 
Sijaelewa yaani uliachana na mumeo mliezaa nae watoto 3 kisha mkarudiana tena?
mm najuta kuna demu nilimpendaga sana uko dar nakuambia alikua bonge la pisi mauno kama yote kakaniacha kakaolewa bas mwez wa 12 nkaenda dar kwa bahati nzuri kalikuawa kameachwa tayar na huyo bwana wake basi ikabid nikumbushie enzi lakn nkamwmbia siuuz mech akakataa sana et kwann simuamin kdume nkaweka msimamo bas tukaanza kuchwi kuchwi dah nlijua K inanuka balaa nikajisemea kmoyomoyo ndo alitaka nipge dry huyo, bas nkapga kamoja tu kanguruwe nikalala si nayeye akanfata kweny shuka tujifuke wote nkwmbie sku lala K inanuka sjapata kuona nlikaa gest sku 4 lakn nlikula mzgo siku moja tu
 
Sasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.

I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.

Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.

Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.

After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]

September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]

Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
Hongera jamani
Jitahidi kumlea vema mwanaume wako Mae[emoji8]
 
Kumrudia ex ni kuonyesha udhaifu na aliyemrudia mwenzake anadharaulika hakuna heshima kama awali mimi kwenye hilo nimeshindwa kuna ex mmoja ni mchaga kila akinipa ahadi na mkwepa anataka nimle kimasihara akirudi kuhesabiwa na ana mume wake kazalishwa watoto wawili ila mimi sirudii matapishi kwanza mke wa mtu sumu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi yaliyokwisha muda ni kama kitabu ulichokisoma ukakimaliza chote, ukimrudia ujue mtapita mule mule tu.
 
It depend mmeachana kwa sababu gani

He is my husband...and having 3 kids with him[emoji38]
Sioni tukiachana..his love for me is un explainable

Angerud ningekataa ingekula kwangu...sijqkutana na wa kunipenda km yeye...wengi matapeli na watumiaji

Hongera sana dear [emoji7][emoji7][emoji7] Mtunzeee mtunzee
 
Tuliachana tukiwa na mtoto 1 but now tupo vizuri baada ya kurudiana na tuna ndoa na watoto watatu, makosa tuliapa kuwa hatutorudia na ni kweli we are in fire [emoji91] of love [emoji7] not love fire [emoji91] get me.... Ex mtamu haswa ukimrudia
Vinjari mkuu

Much love from this side
 
Back
Top Bottom