Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
-
- #281
I feel you mamaIt depend mmeachana kwa sababu gani
He is my husband...and having 3 kids with him[emoji38]
Sioni tukiachana..his love for me is un explainable
Angerud ningekataa ingekula kwangu...sijqkutana na wa kunipenda km yeye...wengi matapeli na watumiaji
Hamna mtoto mkuu?Wakati nikiendelea kusoma comments zenu simu ya ex wangu imeingia, sijaipokea.
Ni ex wife lakini kazingua sana, hapa anapambana kuirudisha ndoa nami sina mpango wa kurudi.
Safi mkuuKumrudia ex ni kuonyesha udhaifu na aliyemrudia mwenzake anadharaulika hakuna heshima kama awali mimi kwenye hilo nimeshindwa kuna ex mmoja ni mchaga kila akinipa ahadi na mkwepa anataka nimle kimasihara akirudi kuhesabiwa na ana mume wake kazalishwa watoto wawili ila mimi sirudii matapishi kwanza mke wa mtu sumu
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ooh sawa mamaKisa gani sijawahi hata kurudi kumkiss ex nikiacha nimeacha,, kwahiyo sina kisa kinachofanana na hii mada
Ok, haihusiani na hii mada lakini, kingine mi sijui kusimulia kimasndishi, nitasimulia mtu then ataileta humuIla Kapeace mama kuna experience ulisema ungetusimuliaView attachment 2501925View attachment 2501926View attachment 2501927
OkayOk, haihusiani na hii mada lakini, kingine mi sijui kusimulia kimasndishi, nitasimulia mtu then ataileta humu
Nimefuta Kila kitu. Nadeal na ingizo jipya Tu.Najua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.
Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire watu wengi sana hata bila ninyi kujua
Binafsi nimepitia mahusiano mengi ila kati ya yote sikuwahi kumrudia Ex in a serious way, yupo mmoja tu ambaye ni kama tupo kwenye Open relationship
Nimeona comments za watu humu ndani wakisema kuwa “Ex harudiwi” nimeona hili sio mara moja wala mara mbili ila ni mara nyingi
Currently hali yangu ya kimahusiano ina utata kwa maana kuna ex angu mmoja ninatamani sana kuwa nae milele na hii ni kutokana na kwamba nimepima nimeona yeye anafaa japo ana mapungufu yake kama mimi tu nimeona nitaweza vumilia
Sasa basi lengo la uzi huu ni kupata maoni yenu ama ushuhuda kwamba ilikuaje ulipomrudia ex wako??
Penzi lilifana au ulipoteza muda??
Ushuhuda huo pamoja na vigezo vingine nitavitumia kufanya maamuzi Muhimu sana ktk maisha
Karibuni sana waungwana uwanja ni wenu
View attachment 2490414
Safi mkuu
Twanga mkuu twangaAlikuwa akiileta mwenyewe, kwa madai toka tuachane hajakutana na zile kubum kubam.. Nami sina hiyana, sijui kujivunga, nikawa naitwanga tu.
DohMimi aliniacha kwa sababu zake za kutaka sana ndoa na mimi siko tayari, iliniuma sana kusikia naachwa, nikakausha, nikasubiri kidogo mda ukaenda kama 3months hivi, nikamrudia kwa machozi na damu, akakubali....dadeq hakuna kitu kibaya kama kumrudia ex, she doesn't taste the same anymore, nikabwagaaaaa...nae akalia kidogo!
Hatuna mtoto na hicho ndo kinachomuumiza anataka tuzaeHamna mtoto mkuu?
AnhaaHatuna mtoto na hicho ndo kinachomuumiza anataka tuzae
Sifanyi hilo kosaAnhaa
Na ukizaa nae umekwisha
Tuliachana wkt tuna date...Sijaelewa yaani uliachana na mumeo mliezaa nae watoto 3 kisha mkarudiana tena?